UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya...
Transcript of UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya...
![Page 1: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/1.jpg)
UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI
SIMULIZI(KIDATO CHA PILI)
Mussa Shekinyashi+255 743 98 98
![Page 2: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/2.jpg)
MALENGO YA SOMO
• Kufikia mwisho wa somo:
• Tujikumbushe maana ya Fasihi Simulizi
• Tufahamu sifa bainifu za Fasihi Simulizi
• Tufahamu Njia za uhifadhi wa Fasihi Simulizi
tukizingatia: Ubora na athari (udhaifu) zake kwa
fasihi simulizi.
![Page 3: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/3.jpg)
MAANA YA FASIHI SIMULIZI
• Fasihi simulizi ni aina ya fasihi inayowasilishwa
kwa njia ya mazungumzo ya mdomo.
• Aina hii ya fasihi imekuwepo tangu enzi na
enzi.
• Imekuwa ikirithishwa kutoka kizazi kimoja
hadi kingine kwa njia ya mazungumzo ya
mdomo.
• Mfano wa fasihi simulizi ni hadithi
tunazosimuliwa na wazazi wetu, nyimbo
tunazoimba, maigizo yanayoigizwa.
![Page 4: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/4.jpg)
SIFA BAINIFU ZA FASIHISIMULIZI
• Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo.
• Huifadhiwa kichwani
• Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko kwa
kuzingatia mazingira na uhitaji.
• Huwa ni mali ya jamii nzima.
• Huwa na wakati maalum na pahala maalum pa
kuiwasilisha.
• Huwa inaruhusu fanani na hadhira kukutana ana
kwa ana.
• Huruhusu viungo vingine vya mwili kutumika
katika uwasilishaji.
• Huwa inaruhusu hadhira kushiriki katika
![Page 5: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/5.jpg)
UHIFADHI
• Fasihi inaweza kukusanywa na kuhifadhiwa
kwa njia zifuatazo :
• Kichwa
• Maandishi
• Kanda za kunasia sauti
• Kanda za video, televisheni na filamu za
sinema (CD,DVD na kompyuta)
![Page 6: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/6.jpg)
KICHWA
• Kwa asili uhifadhi wa fasihisimulizi hufanywa kwa vichwavya watu kutoka kizazi hadikizazi.
• Njia hii imetumika kwa kipindikirefu sana.
• Kutokana na njia hii fasihiimeweza kuwepo kutokavizazi vya kale hadi hiki cha sasa.
![Page 7: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/7.jpg)
UHIFADHI WA KICHWA
![Page 8: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/8.jpg)
UDHAIFU/ ATHARI ZA UHIFADHIWA KICHWA
• Kupungua kwa kumbukumbu za mhifadhi/fanani
• Kufa kwa fanani
• Fanani anaweza kubadilisha mambo muhimu katikasimulizi na hivyo kubadili kiini cha masimulizi hayo.
• Ukosekananji wa wahifadhi wa fasihi kwa kichwa. Ni vigumu kupata watu wanaopenda na wanaoweza kuhifadhifasihi simulizi
![Page 9: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/9.jpg)
MAANDISHI
• Njia hii imeimeza fasihi simulizi kwa manufaa ya
baadae.
• Ugunduzi wa alama za uandishi ndio uliopelekea
fasihi simulizi kuhifadhiwa katika maandishi.
• Leo hii ni vigumu kuifahamu kazi ya fasihi simulizi
iliyowekwa kwenye maandishi.
• Njia pekee ya kuipambanua ni kuangalia tabia za
fasihi simulizi ambazo ni: “paukwa…pakawa”au
“hadithi….hadithi njoo”
![Page 10: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/10.jpg)
MAANDISHI
![Page 11: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/11.jpg)
UDHAIFU/ATHARI YA UHIFADHIWA MAANDISHI
• Uhifadhi kwa maandishi huwa na matatizo yafuatayo:
• Kukosekana kwa utendaji,sauti,kuimba vitabia.
• Kukosekana kwa uhusiano wa moja kwa moja kati ya
hadhira na fanani
• Kukosekana kwa mabadiliko ya mara kwa mara.
• Ufinyu wa hadhira, itakuwa na watu wachache tu, wale
wanaojua kusoma na kuandika.
• Inakuwa ni nyenzo ya kibiashara ambapo inahitaji
kugharamiwa.
![Page 12: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/12.jpg)
KANDA ZA KUNASIA SAUTI
• Njia hii pia hutumika kuhifadhi fasihi simulizi.
• Hii ni teknolojia iliyochipukia baada ya maandishi.
• Ilikuwa na uwezo zaidi wa kuhifadhi uhalisia wafasihi simulizi ukilinganisha na njia ya uhifadhi kwamaandishi.
• Katika njia hii kanda hutumika, kanda hizo hushikasauti pamoja na vichombezo vyake.
![Page 13: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/13.jpg)
KANDA ZA KUNASIA SAUTI NAREDIO
![Page 14: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/14.jpg)
UDHAIFU/ATHARI ZA KANDA ZAKUNASIA SAUTI
• Sauti husikika, lakini…
• Ni vigumu kuona matendo ya fanani .
• Hadhira haishirikishwi
• Ni gharama kuipata
• Uhifadhi unahitajika uwe wa hali ya juu
• Kudumaa kwa kazi ilihifadhiwa, haitapata
mabadiliko kamwe.
![Page 15: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/15.jpg)
KANDA ZAVIDEO,TELEVISHENI,FILAMU ZASINEMA, KOMPYUTA, MTANDAO, SIMU ZA MIKONONI, CD NA DVD• Uhifadhi wa namna hii hujumuisha sura na sauti
zinazoonekana kwenye skirini ya video.
• Vifaa maalumu hutumika kutengeneza picha za
namna hiyo.
• Fasihi simulizi imeweza kuhifadhiwa katika vifaa
hivi.
• Hapa uhalisia wa fasihi simulizi hujitokeza zaidi
ukilinganisha na njia zile za mwanzo.
• Hapa matendo na sauti vinaonekana wazi.
![Page 16: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/16.jpg)
CD/DVDHutumika kuhifadhi fasihi simulizi
![Page 17: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/17.jpg)
KANDA ZA VIDEOHizi hutumika pia kurekodi matukio
ya fasihi simulizi.
![Page 18: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/18.jpg)
MTANDAOKwa njia hii fasihi simulizi
huifadhiwa kisha kusambazwa
katika jamii zote duniani .
![Page 19: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/19.jpg)
KOMPYUTAKifaa hiki hutumika kuhifadhi na
kuonesha kazi za fasihi simulizi.
![Page 20: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/20.jpg)
SIMU YA MKONONIHii ni njia rahisi ya kurekodi na
kusambaza kazi za fasihi simulizi
kupitia mitandao ya kijamii kama
facebook, whatsApp na mingineyo
![Page 21: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/21.jpg)
UDHAIFU/ ATHARI YA NJIA HIIYA UHIFADHI
• Upungufu wa ushirikishwaji wa hadhira
• Njia hii ni ya gharama sana
• Haitabadilika kulingana na mahitaji ya hadhira
• Uhifadhi wa vifaa hivi ni wa gharama sana.
![Page 22: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/22.jpg)
UMUHIMU WA KUHIFADHI KAZIZA FASIHI SIMULIZI
• Hukuza na kuendeleza utamaduni wa jamii.
• Zinasaidia katika kuvutia watalii
• Ni sehemu ya ajira.
• Kazi ya fasihi inapohifadhiwa huwa ni chachu
ya umoja wa kitaifa.
![Page 23: UHIFADHI WA KAZI ZA FASIHI SIMULIZI · SIFA BAINIFU ZA FASIHI SIMULIZI •Huwasilishwa kwa njia ya mzungumzo ya mdomo. •Huifadhiwa kichwani •Humpa uhuru msanii wa kufanya mabadiliko](https://reader033.fdocument.pub/reader033/viewer/2022050703/5feebf6f2626a608837169f6/html5/thumbnails/23.jpg)
ASANTENI SANA!