MAELEZO YA JINSI YA KUTUMIA MTANDAO (LOIS) · PDF fileChagua “new” kama ni maombi...

8
MAELEZO YA JINSI YA KUTUMIA MTANDAO (LOIS) KUOMBA LESENI YA UTANDAZAJI MIFUMO YA UMEME Utaratibu wa kuomba leseni kwa njia ya mtandao ” umeanzishwa ili kuwezesha wateja kuomba leseni popote walipo kwa njia rahisi zaidi kupitia tovuti ya EWURA (www.ewura.go.tz au https://lois.ewura.go.tz/). Ili kuweza kutuma maombi, mwombaji atafuata hatua zifuatazo: 1 Kujisajili Hatua hii inamwezesha mteja kufungua akaunti itakayomwezesha kutuma maombi na kufatilia hatua zitakazopitiwa mpaka leseni yake itakapotolewa. Pia akaunti hii itamwezesha kuwasiliana na Mamlaka kuhusiana na maombi yake ya leseni. Mahitaji ya lazima Mwombaji anapaswa kuwa na vitu vifauatavyo wakati wa kutuma maombi: i) Anuani ya barua pepe (email address) ii) Namba ya mlipakodi (TIN number) - kama huna andika NA iii) Namba ya simu ya mwombaji iv) Jina la Kampuni yako (kama huna andika NA) v) Anuani ya mahali unapoish: Mkoa, wilaya, kata na mtaa Jinsi ya kufanya usajili Fungua tovuti https://lois.ewura.go.tz/ au www.ewura.go.tz kisha chagua “Online Services” kisha bofya kwenye Online Licence and Order Information System (LOIS). (1. 2. Bofya “Register here ujisajili.

Transcript of MAELEZO YA JINSI YA KUTUMIA MTANDAO (LOIS) · PDF fileChagua “new” kama ni maombi...

MAELEZO YA JINSI YA KUTUMIA MTANDAO (LOIS) KUOMBA LESENI YA

UTANDAZAJI MIFUMO YA UMEME

Utaratibu wa kuomba leseni kwa njia ya mtandao ” umeanzishwa ili kuwezesha wateja kuomba

leseni popote walipo kwa njia rahisi zaidi kupitia tovuti ya EWURA (www.ewura.go.tz au

https://lois.ewura.go.tz/). Ili kuweza kutuma maombi, mwombaji atafuata hatua zifuatazo:

1 Kujisajili

Hatua hii inamwezesha mteja kufungua akaunti itakayomwezesha kutuma maombi

na kufatilia hatua zitakazopitiwa mpaka leseni yake itakapotolewa. Pia akaunti hii

itamwezesha kuwasiliana na Mamlaka kuhusiana na maombi yake ya leseni.

Mahitaji ya lazima

Mwombaji anapaswa kuwa na vitu vifauatavyo wakati wa kutuma maombi:

i) Anuani ya barua pepe (email address)

ii) Namba ya mlipakodi (TIN number) - kama huna andika NA

iii) Namba ya simu ya mwombaji

iv) Jina la Kampuni yako (kama huna andika NA)

v) Anuani ya mahali unapoish: Mkoa, wilaya, kata na mtaa

Jinsi ya kufanya usajili

Fungua tovuti https://lois.ewura.go.tz/ au www.ewura.go.tz kisha chagua

“Online Services” kisha bofya kwenye Online Licence and Order Information System

(LOIS).

(1.

2. Bofya “Register here ujisajili.

3.

Jaza taarifa zinazohitajika, zingatia kwamba herufi zilizo kwenye picha lazima

ziingizwe kama zilivyo (herufi ndogo iingizwe ndogo na kubwa iingizwe kubwa). Pia

sehemu zilizo na nyota nyekundu lazima taarifia ziingizwe laa hutaweza kujisajiri.

Ukishamaliza kuingiza taarifa zako zote bofya “Register” na hapo utakuwa

umemaliza kujisajili.

Ndani ya saa 24 utapata barua pepe kutoka Ewura ikikujulisha kukamilika kwa usajili

na taarifa za email na neno la siri (password) utakazotumia wakati wa kutuma

maombi. Ni baada ya kupokea taarifa ya kukamilika usajili wako ndipo utaweza

kutuma maombi ya leseni.

2 Kutuma maombi

Mahitaji ya lazima

Kabla ya kutuma maombi hakikisha una nakara za kielectroniki (softi kopi” )za vitu

vifauatavyo :

i) picha ya paspoti saizi (yenye rangi ya blue nyuma)

ii) Pasi ya kusafiria au kitambulisho cha taifa au cheti cha kuzaliwa au kadi ya

kupigia kura

iii) Vyeti vya kuhitimu masomo ya sekondari kidato cha nne/sita (kama huna

weka cha darasa la saba)

iv) Vyeti vya kuhitimu masomo ya ufundi/ taaluma

v) Wasifu (CV) ukionyesha miradi/kazi ulizofanya. Onyesha tarehe na muda wa

mradi/kazi, jina na anwani ya mteja, jina na anwani ya mwajiri, jina na

anwani ya aliyekusimamia kazi, uzoefu uliopata. Pia onyesha msongo wa

umeme husika kwa kila mradi/kazi.

vi) Wadhamini wawili na taarifa zao; anuani, email, namba za simu, taarifa za

leseni (Daraja na namba ya leseni )kwa mdhamini wa pili. Zingatia kwamba

mdhamini wa pili lazima awe na leseni hai ya Ewura.

vii) Risiti ya malipo ya ada ya maombi sh 10,000 (lipia ada ya maombi kupitia

nambari ya Akaunti 01J1022244000, jina la Akaunti EWURA, benki ya CRDB )

Kutuma maombi

Fungua tovuti https://lois.ewura.go.tz/ au www.ewura.go.tz kisha chagua

“Online Services” kisha bofya kwenye Online Licence and Order Information System

(LOIS). kisha ingiza email uliyotumia kufanya usajili na neno la siri (nywila/password)

ulilotumiwa kwenye barua pepe.

Kisha bofya “Login” itafunguka kurasa kama hii:

Chagua “Electricity” kisha bofya “Apply” itafungua kurasa kama hii:

Chagua “new” kama ni maombi mapya au “Renewal” kama ni maombi ya kuhuisha au

kupanda daraja kisha bofya “electrical Installation license” itafungua kurasa kama hii hapa

chini kwa maombi mapya, Kisha chagua daraja la leseni unayotaka kuomba:

Bofya kwenye daraja la leseni unalotaka kuomba itafungua kurasa kama hizi hapa chini, fuata

maelekezo yaliyoandikwa kukamilisha maombi yako, zingatia kwamba sehemu zilizo na nyota

nyekundu lazima taarifia zijazwe laa hutaweza kutuma maombi.

☺ o

LOIS

License And Order Information System

▲ Home ≡ Manual

Notifications (0)

Application For: Electricity » Class A - Installation

Please click Previous,Save or Next to save your work Application Mode: Open

1. Name of Applicant

* a. Name:

2. Colored Passport photo

a. Upload colored passport size photo

(blue background):

3. Physical Address

* ₪Attach

a.

c.

d.

e.

f.

Plot No:

Street:

Region:

District:

Ward:

*

*

*

4. Postal Address

*

*

*

a.

b.

c.

d.

e.

f.

g.

h.

P.O.Box:

Region:

District:

Ward:

Tel No:

Email:

Fax No:

Mobile Numbers:

*

*

5. Personal Details

* a.

b.

c.

d.

Date of Birth:

Gender:

Nationality:

Upload Passport/National Id/Birth

Certificate:

For Non Citizen

Work Permit No:

Date of Issue:

Expiry Date:

*

*

Male Female

* ₪Attach

a.

b.

c.

6. Employment Status

a. Employment Status:

* Employed

Self

Employed

Un

Employed

General Particulars

Finish

Liberatus

Andika majina yako kama yalivyo

kwenye vyeti vyako

Pakia/weka (alpodi) picha ya paspoti saizi

Andika namba ya kiwanja/nyumba

Andika jina la mtaa unapoishi

Chagua mkoa unapoishi, itakuwezesha

kuchagua wilaya na kata hapo chini

Andika sanduku lako la posta

Chagua mkoa unapoishi, itakuwezesha

kuchagua wilaya na kata hapo chini

Andika anuani ya barua pepe

Andika namba ya simu unayotumia

mara nyingi

Andika tarehe ya kuzaliwa

(siku/mwezi/mwaka)

Chagua jinsia.

Andika uraia wako.

Pakia/weka(aplodi) kimoja kati ya

hivi pasi ya kusafiria, kitambulisho

cha taifa au cheti cha kuzaliwa

Kama muombaji si raia wa Tanzania,

utapaswa kuandika namba ya kibali cha

kazi, tarehe ya kutolewa na kuisha

kibali

Chagua Employed kama umeajiriwa, self

employed(wekaVAT, TIN na leseni ya

biashara) kama umejiajiri na unemployed

kama hujaajiriwa wala kujiajiri

7. Employment History

From To Employer's Name & Address Position

8. Education: Primary and Secondary School (Fill starting with

the secondary)

From To School's Name & Address Award Certified Certificate

₪Attach

₪Attach

9. Training: University, College and Vocation Training (Fill

starting with the highest qualification)

From To Institute's Name & Address Award Certificate/Testimonial

₪Attach

₪Attach

₪Attach

10. Upload summary of electrical installation working

experience signed and stamped by your supervisors:

a. ₪Attach Working experience:

11. Referees Declaration 1

a.

b.

c.

d.

f.

g.

h.

i.

Name:

Relationship:

P.O. Box:

City:

Telephone No:

Email:

Fax No:

Mobile No:

12. Referees Declaration 2

a.

b.

c.

d.

f.

g.

h.

i.

Name:

Relationship:

P.O. Box:

City:

Telephone No:

Email:

Fax No:

Mobile No:

EWURA © 2016 License Application Powered by: Exact Software Ltd.

Next Save

Andika taarifa za ajira ulizowahi fanya

Cheo/nafasi uliyoshika Jina na anuani ya muajili

Kutoka tarehe mpaka tarehe

Andika taarifa za elimu ya msingi na sekondari

Jina na anuani ya shule Cheti ulichotunukiwa

Pakia/upload vyeti

Jina na anuani ya chuo Cheti ulichotunukiwa

Pakia/upload vyeti

Pakia/aplodi Wasifu (CV) ukionyesha miradi/kazi

ulizofanya

Andika jina la mdhamini wa kwanza

Andika uhusiano na mdhamini, e.g

msimamizi,

Ingiza taarifa kama ulivyofanya kwa

mdhamini wa kwanza

Andika anuani, namba za simu, barua

pepe na nukushi ya mdhamini

wakwanza.

Ukimaliza kuingiza taarifa zote

zinazohitajika bofya “Next” au”finish”

kuendelea

Unaweza bofya “Save” ili kuhifadhi

taarifa ulizokwiha jaza na kuendelea baadae.

☺ o

LOIS

License And Order Information System

▲ Home ≡ Manual

Notifications (0)

Application For: Electricity » Class A - Installation

Application Mode: Open 1. Application Fee Payment Slip

Application Fee Payment Slip: * ₪Attach

2. Declaration

I hereby declare that I am authorized to make this application on behalf of the applicant and that to the best of my

knowledge the information supplied herein is correct and that within a reasonable period of time after notice I

undertake to provide whatever additional information EWURA may require in order to evaluate this application.

EWURA © 2016 License Application Powered by: Exact Software Ltd.

Submit Delete Save Previous

General Particulars

Finish

Liberatus

Pakia/aplodi risiti au hati ya benki

ya malipo ya ada ya maombi

Bofya hapa kuweka alama ya

vema(tick) ili kuendelea.

Bofya hapa kutuma maombi.