Somo la 6 kwa ajili Novemba 10, 2018
FUNGU KIONGOZI
Biblia ina taswira tofauti zinazowakilisha kweli za kiroho na zakithiolojia kwa mfano, maji katika Yohona 7:38, upepo katika Yohona3:8 na nguzo katika 1 Timotheo 3:15.
Kuna taswira za umoja kadhaa za kibiblia katika agano jipyazinazoonesha mchango wa msingi uletwao na umoja katika asili nautume wa kanisa.
Jamii mojaya watu. 1 Petro 2:9
Jengo mojana nyumba
moja. Waefeso2:19-22
Hekalumoja. 1
Wakorintho3:16-17
Mwilimmoja. 1
Wakorintho12:12-26
Mchungajimmoja na
kundi moja. Yohona10:1-11
“Bali ninyi ni mzao mteule, ukuhani wa kifalme, taifa takatifu, watu wamilki ya Mungu, mpate kuzitangaza fadhili zake yeye aliyewaita mtokegizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu.” (1 Petro 2:9)
Watu kutoka kila taifa ni sehemu ya Kanisa, Mungu analichukulia kanisa kuwa ni jamii moja yawatu. Taifa takatifu la watu watakatifu wenyekusudi moja : kutangaza wokovu na upendo waMungu kwa ulimwengu.
Hakuna tunaloweza kufanya ili tufaekuwa sehemu ya jamii hii ya watu. Mungu ametuchagua leo kamaalivyowachagua Israeli (kumb 7:6-8).
Tumeitwa kuifunua tabia yake yakimbingu katika maisha yetu kwaupendo na neema yake.
Katika stiari hii, Paulo anaunganisha wazo la jingo na maweyake na nyumba ndani yake.
Sisi tu mawe yaliyo hai ambayo ni sehemu ya jengo. Jiwe la pembeni na msingi ni (1P. 2:4-5).
Hakuna mawe yaliyotengwa. Kila mkristoanawasaidia wengine na yeye pia anasaidiwa nao.
Nasi pia tusehemu ya family kubwa, si kwakuzaliwa: Mungu ni Baba yetu.
Tumeunganishwa kwa sababu tumepatauzoefu wa kuzaliwa upya, na tuna fundisho moja na utume mmoja : kuhubiriinjili.
“Hamjui ya kuwa ninyimmekuwa hekalu la Mungu, na
ya kuwa Roho wa Munguanakaa ndani yenu?” (1
Wakorintho 3:16)
Taswira ya kanisa ilikuwa wazi kabisa kwa wakristo wa awali (wote wayahudina wamataifa): Lilikuwa jingo zuri la kumwabudia na kumheshimu Mungu.
Jamii ya waumini walio na umoja nihekalu. Na Mungu huishi katikati yao.
Hekalu linakuwa katika hatari yakuvunjika pale migawanyikoinapoanza kutokea kanisani (fg. 17).
Paulo anatueleza umuhimu wakudumu, “nia moja na shauri moja.” (1 Wakorintho 1:10).
“Maana kama vile mwili ni mmoja, nao una viungo vingi, na viungo vyote vya mwili ule, navyo ni vingi, ni mwilimmoja; vivyo hivyo na Kristo.”
(1 Wakorintho 12:12)
Kila mshiriki ni sehemu ya mwili huu na ana kusudi maalumu. Nilazima washiriki wote wafanye kazi pamoja katika tofautizao. Mwili hauwezi kufanya kazi ikiwa washiriki wake hawaratibiani.
Kanisa nini mwili wa Kristo. Yeye ni kichwa na sisi tu viungo. Kama matokeo ya hili:
Tofauti zetu za Kabila, rangi, utamaduni, Elimu, na umri kamwe visiruhusiwekutugawa katika Kristo.Chini ya msalaba sote tu sawa.Injili ina nguvu ya kuponya nakupatanisha.Kila muumini anaunganiswa kwa Kristokiroho, hivyo mwili wote unalishwa kwachakula kilicho sawa.
“Mimi ndimi mchungaji mwema. Mchungaji mwema huutoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.” (Yohona 10:11)
Taswira ya Yesu kama mchungaji mwemaiko pia katika Zaburi 23. Kanisa ni kundila kondoo. Sisi ni kondoo werevu na waajabu wanaochungwa na Yesu.
Kondoo wakipotea huwarudisha zizini. Huwatunza daima (wote mmoja mmoja nakanisa).
Jambo la msingi ni kuwa kondoo hufahamu sauti ya mchungaji. Wale wanaoifahamu sauti ya Yesu kamwe hawatatanga peke yao. Watatembeawakiungana na kondoo wengine.
Kwa kweli, umoja na usalamawa watu wa Munguunategemea walivyo karibunaye na unahusiana moja kwamoja na utii wenyeunyenyekevu kwa sauti yake.
“Katika kielelezo cha mzabibu na matawi
yake kunaelezewa uhusiano wa Kristo kwa
wafuasi wake na uhusiano miongoni wa
wafuasi wake. Matawi huhusiana moja kwa
lingine, lakini kila moja lina utofauti
usiofungamana na wa tawi jingine. yote yana
uhusiano unaofanana kwa mzabibu na
yanautegemea kwa ukuaji wao, na kuzaa
matunda kwao. Hayawezi kutegemeana. Kila
moja kwa ajili yake sharti liungwe katika
mzabibu. Na matawi yanapokuwa na
mfanano sawa, pia huonesha utofauti. Umoja
wao uko katika muunganiko wao kwa
mzabibu, na kwa kila moja, ingawa sio kwa
njia ile ile, hufunua maisha ya mzabibu”
E.G.W. (Testimonies for the Church, vol. 7, cp. 32, p. 171)
Top Related