Tajiri

download Tajiri

of 1

Transcript of Tajiri

  • 7/30/2019 Tajiri

    1/1

    Kolonia SantitaLaana Ya Panthera Tigrisi

    By: Enock MaregesiPublished on: 9/17/2012 9:19 AM

    Kuwa tajiri si kazi rahisi. Ukipata milioni ya kwanza utataka nyinginekulinda hiyo ya kwanza. Ukipata ya pili utataka mbili zingine kulinda

    hizo mbili za kwanza, n.k. Si kazi rahisi. Si kama unavyofikiria. Utajiri

    haujanipa furaha. Umenipa uhuru. Ndugu zangu ni maskini wa kutupwa.

    Ningependa kuishi kama maskini mwenye pesa nyingi.