Somo la 1 ka ajili ya Julai 4, 2020 kunena neno la Mungu pasipo hofu[…] kwa nia njema. […]...

9
Somo la 1 ka ajili ya Julai 4, 2020

Transcript of Somo la 1 ka ajili ya Julai 4, 2020 kunena neno la Mungu pasipo hofu[…] kwa nia njema. […]...

Page 1: Somo la 1 ka ajili ya Julai 4, 2020 kunena neno la Mungu pasipo hofu[…] kwa nia njema. […] [wanafanya] kwa upendo.” (Wafilipi 1:14-16). E.G.W. (Testimonies for the Church, book

Somo la 1 ka ajili ya Julai 4, 2020

Page 2: Somo la 1 ka ajili ya Julai 4, 2020 kunena neno la Mungu pasipo hofu[…] kwa nia njema. […] [wanafanya] kwa upendo.” (Wafilipi 1:14-16). E.G.W. (Testimonies for the Church, book
Page 3: Somo la 1 ka ajili ya Julai 4, 2020 kunena neno la Mungu pasipo hofu[…] kwa nia njema. […] [wanafanya] kwa upendo.” (Wafilipi 1:14-16). E.G.W. (Testimonies for the Church, book

Kutoa fursa kwa ajili ya wakovu

Kumfurahisha Mungu

kukua

kutii

Kwa ajili ya upendo

Je; Ni nini kinachomsukuma Mungukutoa wokovu kwa mwanadamu?

Shauku kuu ya Mungu kuona kilamtu anaokolewa na kubadilishwa naRoho wake. Upendo wake haunaukomo, huruma zake ni za milele, namsamaha wake hauna mwisho. Mungu ni Baba mwenye upendoanayetaka Watoto wake wote wajenymbani haraka iwezekanavyo.

Mungu ametuchagua ili atupatiewokovu. Je; msukumo wetu ni ninikatika kufanya hivyo? Kwa ninitushuhudie?

Page 4: Somo la 1 ka ajili ya Julai 4, 2020 kunena neno la Mungu pasipo hofu[…] kwa nia njema. […] [wanafanya] kwa upendo.” (Wafilipi 1:14-16). E.G.W. (Testimonies for the Church, book

“Basi wamwiteje yeye wasiyemwamini? Tena wamwaminije yeyewasiyemsikia? Tena wamsikieje pasipo mhubiri?” (Warumi 10:14)

Mungu hujifunua kwa njia mbalimbali:

Kupitia kazi za Rohomtakatifu (Matendo 5:32)

Kupitia asili(Zaburi 19:1)

Kupitia mazingira maalumna ya kimiujiza (1 Nyakati16:12)

Kupitia maisha na utumewa Yesu(Yahana 1:18)

Pamoja na kuwa na uwezo wa kutumia njia zote hizo, Mungu bado ametuchagua kuutangaza mpango wa wokovukwa wengine.

Anawataka wale waliopokea wakovu kuushiriki nawengine. Anatutaka kishiriki na wengine kiletulishokipokea, kufapatia wengine fursa ya kupokea uzimawa milele (Mathayo 10:8; Yakobo 5:20).

Page 5: Somo la 1 ka ajili ya Julai 4, 2020 kunena neno la Mungu pasipo hofu[…] kwa nia njema. […] [wanafanya] kwa upendo.” (Wafilipi 1:14-16). E.G.W. (Testimonies for the Church, book

Umewahi kufikiri ni kwa namnagani Mungu hujisikia kwa Habari ya maumivu, mateso, dhulumavilivyoletwa na dhambi? (Yeremia 13:17).

Mbingu hujawa na matarajiokila tunapoishiriki injili nawengine, kwa kadri Munguanavyotamani kuonawakifungua mioyo yao nakupokea wakovu.

Moyo unapofunguliwa kwa ajili ya Wokovu, malaikahulipuka kwa kelele za shangwe, na Mungu huimbakwa furaha (Luka 15:7; Zefania 3:17).

Je; Ni jambo gani linaloridhisha na kutosheleza Zaidi ya kujua kuwa ushuhuda wako huleta furaha kwaMungu katika dunia yenye huzuni?

Page 6: Somo la 1 ka ajili ya Julai 4, 2020 kunena neno la Mungu pasipo hofu[…] kwa nia njema. […] [wanafanya] kwa upendo.” (Wafilipi 1:14-16). E.G.W. (Testimonies for the Church, book

“Aniaminiye mimi, kama vile maandikoyalivyonena, mito ya maji yaliyo haiitatoka ndani yake.” (Yahana 7:38)

Nini hutokea maji yakisimama?

Maji kwenye dimbwi huchafuka ikiwa hayamadilishwi sikukwa siku. Tunaweza “kuchafuka” kama hatutaruhusu majiyaliyo hai ya bubujike ndani yetu.

Kama tulivyosema mwanzo, Mungu anazonjia nyingi za kujifunua. Hata hivyo, Hataanavyojifunua moja kwa moja, huwafanyawatu wakutane na watu wengine. Angaliauzoefu wa Sauli na Kornelio, kwa mfano(Matendo 9:3-6; 10:1-6).

Kuhubiri injili ni baraka kwetu. Tunaweza kukua kiroho nakufurahi Pamoja na Kristowatu wanapompokea Kristo.

Page 7: Somo la 1 ka ajili ya Julai 4, 2020 kunena neno la Mungu pasipo hofu[…] kwa nia njema. […] [wanafanya] kwa upendo.” (Wafilipi 1:14-16). E.G.W. (Testimonies for the Church, book

“Basi, enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi, mkiwabatiza kwajina la Baba, na Mwana, na Roho Mtakatifu.” (Mathayo 28:19)

Mungu hatiki “yeyote apotee”, bali kilamtu arejee toba.” (2 Petro 3:9)

Hivyo basi, alituagiza kutangaza injili kwakila mtu. Kwa subira anagoja tutimizeagizo (Mathayo 24:14).

Mungu amechagua wanaume na wanawake(2P 2:5; Mw. 12:1-3), mataifa (Is. 49:6) na watu (Matendo1:8) kufanya wokovu ujulikane katika historia yote.

Kwa kanisa kupuuza au kuhafifisha agizo la Kristo nikushindwa katika kusudi la uwepo wa wito unabiina kukosa shabaa yake.

Page 8: Somo la 1 ka ajili ya Julai 4, 2020 kunena neno la Mungu pasipo hofu[…] kwa nia njema. […] [wanafanya] kwa upendo.” (Wafilipi 1:14-16). E.G.W. (Testimonies for the Church, book

Kubidisha humaanisha “kumlazimisha mtukufanya kitu, or au kufanya kitu kiwe cha muhimu” (Oxford Advanced Learner’s Dictionary).

Upendo wa Yesu ulimsukuma Paulo kutangazaneno ulimwenguni kote maana alielewa kuwaYesu alitoa maisha ili kumuokoa.

Kushuhudia ni mwitikio wa upendo kwaUpendo wa Mungu.

“Na wengi wa hao ndugu walio katika Bwana, hali wakapata kuthibitika kwa ajili yakufungwa kwangu, wamezidi sana kuthubutukunena neno la Mungu pasipo hofu[…] kwania njema. […] [wanafanya] kwa upendo.” (Wafilipi 1:14-16).

Page 9: Somo la 1 ka ajili ya Julai 4, 2020 kunena neno la Mungu pasipo hofu[…] kwa nia njema. […] [wanafanya] kwa upendo.” (Wafilipi 1:14-16). E.G.W. (Testimonies for the Church, book

E.G.W. (Testimonies for the Church, book 9, cp. 4, p. 43)