SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

18
Siku ya Kuzuia Ukatili Ulimwenguni (End it Now Day) “Ukatili Nyumbani” 01/15/22 Kuzuia ukatili ulimwenguni 1

description

Haya ni mafunzo juu kuzuia ukatili kwa wanajamii hasa wanawake na watoto na hapa tutaona kanisa linawajibu gani katika kukabiliana na hali hii.

Transcript of SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Page 1: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Siku ya Kuzuia Ukatili Ulimwenguni

(End it Now Day)

“Ukatili Nyumbani”

04/21/23

Kuzuia ukatili ulimwenguni

1

Page 2: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Utangulizi

Kamati ya mwisho wa mwaka ya Septemba 26, 2001, ilipitisha kuongezea siku ya msisitizo wa kuzuia na kutokomeza ukatili katika kalenda ya kanisa ya sabato maalum ulimwenguni mwote.

Idara hushirikiana na idara ya Kaya na Familia, Afya, Idara ya huduma za watoto , Idara ya Vijana, Elimu na chama cha Wachungaji.

Psalm 11:5 / Zaburi 11:5

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni2

Page 3: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Somo letu

Somo hili haliwapi furaha wasomaji wote, imedhihirika kuwa ukatili ni jambo nyeti sana kujifunza juu yake hasa wakristo waadventista wa sabato.

Ukatili kwa namna yoyote huumiza mwili wa kristo kupitia mlengwa, mtendaji na kanisa pia kwani huliachia machungu, na washiriki wake.

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni3

Page 4: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Lengo kuu

Litawapa nafasi (kanisa mahalia) kupata kulizungumzia na kulielimisha kanisa na uongozi wake.

Pia kuwafanya waanga wakubwa wa ukatili kujua kuwa kanisa linajali washiriki wake.

Matthew 5:38-39

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni4

Page 5: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Ukatili kwa Wanawake

Kuna habari zimetapakaa pote katika Redio, TV, na mitandao, habari nyingi za:

• kuwatorosha wanawake/ wasichana wadogo,

•kufanywa Malaya kwa nguvu

•Ukeketaji wasichana (Tohara kwa wasichana)

•ndoa za kulazimishwa katika umuri mdogo wa utoto

Hebrews 10:30

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni5

Page 6: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Ukatili kwa Wanawake

matumizi ya nguvu

kulazimishwa kutoa mimba

ubakaji

vipigo na mengine mengi sana.

Proverbs 3:31

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni6

Page 7: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Jiunge nasi kusema “HAPANA”

Kwa ajili ya ukatili ufanywao kwa wanawake na watoto;

•HAPANA kwa aina yoyote ya ukatili

•HAPANA hatutakaa kivivu kutofanya lolote

•HAPANA dunia tunayoishi inahitaji watoto wa Mungu watakaompenda

MUNGU yeye pekee awezaye kuponya machungu yao.

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni7

Page 8: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Swali?

UKO TAYARI?

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni8

Page 9: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Aina za ukatili nyumbani

Tutajifunza matamko yaliyotolewa na kanisa letu la SDA dhidi ya ukatili (Church Statement) ikiwa ni;

•Kwa maneno

•Kimwili

•Kihisia

•Kingono

•Au kutelekeza

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni9

Page 10: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Wapi na Nani?

Haya hufanywa na mtu/watu dhidi ya mwingine

katika familia ya waliooana, wanaohusiana,

wanaoishi pamoja/wanaoishi mbali mbali au

walioachana.

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni10

Page 11: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Wapi na Nani?

Utafiti wa kimataifa wa hivi karibuni unaonyesha

kuwa ukatili katika familia ni tatizo la

kiulimwengu. Hutokea wakati watu wa umuri

wote, utaifa ngazi yoyote ya uchumi, familia ya

aina yoyote, dini au misingi ya upagani, utafiti

unafanana mijini na vijijini.

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni11

Page 12: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Ukatili kwa njia mbalimbali

Kimwili Yawezatokea kwa mwenzi mmojawapo kufanyiwa ukatili kimwili kwa:

•Kipigo

•Kukatwakatwa

•Kuunguzwa

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni12

Page 13: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Ukatili kwa njia mbalimbali

Kihisia

Ukatili huu huambatana na;

• Vitisho kwa maneno

•Hasira kali

•Kubadilika tabia na mwenendo madai ya kufanya kila kitu sahihi yaweza kuwa udhalilishaji kwa njia ya kashfa inayomwondolea mtu heshima na utu wake.

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni13

Page 14: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Ukatili kwa njia mbalimbali

Ngono za maharamu (ndugu na ndugu) ambazo ni kinyume cha taratibu watoto wadogo

Wazazi/walezi kuwatelekeza watoto wao hivyo kusababisha kuumia au madhara kwao

Utumiaji nguvu kwa wazee kimwili, kiakili, kingono, kimatamshi, kuwanyima mahitaji, kuwafanyia ukatili kimatibabu/kutowahudumia

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni14

Page 15: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Jukumu letu

Kuwajali wale wahanga wa ukatili wa nyumbani na kuitikia kwa mahitaji yao.

Kusikiliza na kukubali kuwahudumia wanaoteseka, kuwapenda na kuwathamini

Kuzungumzia upotevu wa haki na ukatili katika jamii ya waumini na katika jamii kwa ujumla.

Kuwatambua na kuwafanyia ushauri nasaha wahanga na watendaji ukatili kupitia wataalam wa kanisa.

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni15

Page 16: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Jukumu letu

Kuelimisha washiriki na jamii ubaya wa ukali nyumbani.

Imarisha vifungo vya familia (mume/mke na watoto) kupitia Idara ya Kaya na Familia.

Kutafiti ili kujua chanzo cha ukatili katika familia

Zuia mzunguko wa ukatili katika familia. Tambua vidokezo vya hatari.

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni16

Page 17: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Jukumu letu

Ishi na kutumia maishani maneno yafundishayo katika Biblia kwa ajili ya Unyumba/Familia yenye furaha.

Dhamiria kuleta furaha nyumbani na kuwa tayari kuzungumza pamoja hitilafu inapotokea na kupatana.

Kumbuka kutolizungumzia tatizo la ukatili ni kukubaliana na maovu yote wanayotendewa wanawake

Romans 12:19

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni17

Page 18: SIKU YA KUZUIA UKATILI ULIMWENGUNI

Key point

Tukiishi nuruni tutaangaza gizani mahali penye ukatili kati yetu. Lazima tujaliane sisi kwa sisi hata kama inaonekana ni rahisi kutohusika.

Psalm 11:5 / Zaburi 11:5; 1Timothy3:3; Psalms 140:1

The Lord tests the righteous, but his soul hates the wicked and the one who loves violence

04/21/23 Kuzuia ukatili ulimwenguni18