Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4...
Transcript of Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4...
![Page 1: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/1.jpg)
i
Shule yangu
Laurence Kunambi
![Page 2: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/2.jpg)
ii 1
Taasisi ya Elimu TanzaniaS. L. P 35094Dar es Salaam
Tanzania
© Taasisi ya Elimu Tanzania ,2015
Mwaandishi: Laurence KunambiMchoraji: Abdul Gugu
Usanifu: Sisi Illustrators
Haki zote zimehifadhiwa. Hairuhusiwi kuiga, kunakili, kutafsiri,kupiga chapa kitabu hiki au sehemu yake kwa njia yoyote ile bila ya idhini ya Taasisi ya Elimu Tanzania.
![Page 3: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/3.jpg)
ii 11
Jina langu ni Emanueli.Nina umri wa miaka 7. Shule yetu inaitwa Tendawema. Ninasoma katika darasa la kwanza.
![Page 4: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/4.jpg)
2 3
Shule yetu imezungukwa na miti ya kivuli. Kuna maua yanayopendeza.
2
Kuna maua yanayopendeza.
![Page 5: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/5.jpg)
2 3
Nyuki hupenda kutembelea maua.
3
![Page 6: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/6.jpg)
4 5
Shule yetu pia ina viwanja vya michezo.Ninapenda kucheza na wenzangu.
4
![Page 7: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/7.jpg)
4 5
Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda kucheza. Eneo hili limejengewa uzio.
5
Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda kucheza. Eneo hili limejengewa uzio.
![Page 8: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/8.jpg)
6 76
Walimu wetu wanatupenda sana.Hutusaidia tunapoumia.
![Page 9: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/9.jpg)
6 7
Mwalimu ametufundisha jinsi ya kuvuka barabara.
7
Mwalimu ametufundisha jinsi ya kuvuka barabara.
![Page 10: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/10.jpg)
8 9
Tunapokuwa shuleni, hufanya usafi. Vile vile humwagilia maji maua. Mimi ninalo ua langu la kutunza.
8
Tunapokuwa shuleni, hufanya usafi. Vile vile humwagilia maji maua. Mimi ninalo ua langu la kutunza.
![Page 11: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/11.jpg)
8 9
Walimu hutufundisha kupendana. Mimi ninawapenda rafiki zangu.
9
Walimu hutufundisha kupendana. Mimi ninawapenda rafiki zangu.
![Page 12: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/12.jpg)
10 11
Darasa letu lina kabati, meza na kiti cha mwalimu. Pia lina ubao, mlango, na madirisha manne.
10
Darasa letu lina kabati, meza na kiti cha mwalimu. Pia lina ubao, mlango, na madirisha manne.
![Page 13: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/13.jpg)
10 11
Darasani tunajifunza masomo mbalimbali. Mimi napenda kusoma.
11
Darasani tunajifunza masomo mbalimbali. Mimi napenda kusoma.
![Page 14: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/14.jpg)
12 13
Tunakunywa uji tukiwa shuleni. Baadaye husafisha vikombe vyetu.
12
Tunakunywa uji tukiwa shuleni. Baadaye husafisha vikombe vyetu.
![Page 15: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/15.jpg)
12 13
Baada ya masomo tunarudi nyumbani kwa furaha.
13
Baada ya masomo tunarudi nyumbani kwa furaha.
![Page 16: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/16.jpg)
14 15
Tunawaonyesha wazazi kazi zetu.
14
Tunawaonyesha wazazi kazi zetu.
![Page 17: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/17.jpg)
14 15
Maswali 1.Elezea tafauti zilizopo kati ya shuleni na nyumbani? 2.Ni vitu gani tunaweza kuviona katika shule ya Tendawema? 3.Kati ya vitu hivyo vingapi unavipenda? 4.Nini faida ya kunywa uji? 5.Je, tunapata faida gani tukienda shuleni kusoma?
![Page 18: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/18.jpg)
16 17
Shughuli Shughuli ya Kwanza:1.Mwalimu awaongoze watoto kuigiza namna ya kuvuka barabara.2.Awaongoze watoto kusimulia hadith kwa kutumia picha.3.Mwalimu awaongoze wanafunzi kuitembelea shule iliyoko karibu na kubainisha vitu mbali mbali.
![Page 19: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/19.jpg)
16 17
![Page 20: Shule yangu - EQUIP TanzaniaShule yetu pia ina viwanja vya michezo. Ninapenda kucheza na wenzangu. 4 5 Shule yetu ina eneo kwa ajili ya watoto wa elimu ya awali. Watoto hawa hupenda](https://reader035.fdocument.pub/reader035/viewer/2022082210/602f6dbd74056173184fd998/html5/thumbnails/20.jpg)
18