Ndovu mwitu aliingia katika mji mmoja katika jimbo la Bengal Magharibi nchini India na kuhangaisha...
-
Upload
jackson-m-audiface -
Category
Documents
-
view
274 -
download
0
Transcript of Ndovu mwitu aliingia katika mji mmoja katika jimbo la Bengal Magharibi nchini India na kuhangaisha...
-
7/25/2019 Ndovu mwitu aliingia katika mji mmoja katika jimbo la Bengal Magharibi nchini India na kuhangaisha wakazi kwa
1/3
Ndovu mwitu aliingia katika mji mmoja katika jimbo la Bengal Magharibi
nchini India na kuhangaisha wakazi kwa saa kadha.Maafisa walitumia
vishale vyenye dawa ya kutuliza wanyama kumtuliza.
Image copyrightE!Image captionNdovu huyo aliharibu nyumba na
magari"akini tayari alikuwa ameharibu nyumba# magari na pikipiki kabla
ya kudhibitiwa.$ata hivyo# maafisa wa mji huo wa %iliguri wanasemahakuna mtu aliyeumizwa wakati wa kisa hicho.
Image copyright!Image caption&atu waliojawa na wasiwasi walikimbiakumkwepa
-
7/25/2019 Ndovu mwitu aliingia katika mji mmoja katika jimbo la Bengal Magharibi nchini India na kuhangaisha wakazi kwa
2/3
Ndovu huyo baadaye alipelekwa kwenye hifadhi moja ya wanyama
ambayo hutumiwa kuwafuga ndovu na wanasema wanapanga kumrejesha
porini baadaye.&atu sita wajeruhiwa na chui India&atu walioshuhudia
wanasema ndovu huyo aliingia mjini kutoka msitu ulio karibu na
alionekana kuwa na wasiwasi na kukanganyikiwa.'isa hicho kimetokeasiku chache tu baada ya chui kuingia shuleni na kujeruhi watu sita katika
eneo la Bengaluru.
walitumia vishale vyenye dawa kumtuliza
http://www.bbc.com/swahili/habari/2016/02/160208_leopard_indiahttp://www.bbc.com/swahili/habari/2016/02/160208_leopard_india -
7/25/2019 Ndovu mwitu aliingia katika mji mmoja katika jimbo la Bengal Magharibi nchini India na kuhangaisha wakazi kwa
3/3
Image copyright!Image caption&alioshuhudia wanasema ndovu huyo
alionekana kuwa na wasiwasi