Muhtasari Wa Maamuzi Ya Tume Wabunge Na Madiwani
-
Upload
cathbert-angelo -
Category
Documents
-
view
1.627 -
download
14
description
Transcript of Muhtasari Wa Maamuzi Ya Tume Wabunge Na Madiwani
MUHTASARI WA MAAMUZI YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI DHIDI YA RUFAA ZA UBUNGE NA UDIWANI
1. Rufaa za Wabunge
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Wabunge 55 na imeshatolea maamuzi rufaa 42 bado rufaa za Wabunge 13 ambazo vielelezo vyake vinasubiriwa kutoka kwenye Halmashauri husika. Kulikuwa na Rufaa 16 za Wabunge waliokuwa wameenguliwa. Kati ya hizo Wabunge 13 wamerudishwa kuendelea na kampeni na rufaa 3 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hawatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea. Aidha, rufaa 24 zimekataliwa na Tume ambapo maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi yataendelea kubaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea. Pia kuna rufaa 2 ambazo Tume haijazijadili kwa kuwa hazikufuata utaratibu wa kuwasilisha Tume yaani kupitia kwa Wasimamizi wa Uchaguzi wa Majimbo husika hivyo, maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi yatabaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea kama walivyoteuliwa. (Jedwali 1)
2. Rufaa za Madiwani
Tume ya Taifa ya Uchaguzi ilipokea Rufaa za Madiwani 200 na imeshatolea maamuzi rufaa 82 bado rufaa za Madiwani 118 ambazo zinaendelea kufanyiwa kazi. Kulikuwa na Rufaa 16 za Madiwani waliokuwa wameenguliwa. Kati ya hizo Wabunge 15 wamerudishwa kuendelea na kampeni na rufaa 1 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi hivyo hao hatarudishwa kwenye orodha ya Wagombea. Aidha, rufaa 64 Tume ilikubaliana na maamuzi ya Wasimamizi wa Uchaguzi hivyo yataendelea kubaki kama yalivyo na wagombea wataendelea kugombea. (Jedwali 2)
1
Jedwali 1 (Tarehe 31/08/2015)
Na. Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
1 Rungwe Frank George MaghobaACT Wazalendo
Saul Henry AmonCCM
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
2 Kinondoni Karama Masoud Suleiman, ACT Wazalendo
Azzan Iddi Mohamed CCM
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kinondoni.
3 Peramiho Mwingira Erasmo Nathan CHADEMA
Jenista Joakim Mhagama CCM
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Peramiho.
4 Lindi Mjini Barwany Salum Khalfan(CUF)
Kaunje Hassani Selemani (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
5 MLALO GOGOLA SHECHONGE GOGOLA (CUF)
RASHID ABDALLAH SHANGAZI (CCM)
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Mlalo.
6. MAFIA KIMBAU OMARY AYOUB (CUF)
DAU MBARAKA KITWANA (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
7. MJI WA HANDENI
DAUDI KILLO LUSEWA (CHADEMA)
KIGODA ABDALLAH OMARI (CCM)
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Mji wa
2
Na. Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
Handeni.
8. NJOMBE KUSINI
EMMANUEL GODGREY MASONGA (CHADEMA)
EDWARD FRANS MWALONGO (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
9 NJOMBE KUSINI
EMMANUEL GODFREY MASONGA
(CHADEAMA)
WILLIAM EDWARD MYEGETA
(DP)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
10. NJOMBE KUSINI
EMMANUEL GODFREY MASONGA
(CHADEMA)
EMILIAN JOHN MSIGWA
(ACT -wazalendo)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
11. KINONDONI KALUTA, AMIRI ABEDI
(CHAUMMA)
AZZAN IDD MOHAMED
(CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
12. MICHEWENI
KHAMIS JUMA OMARI (CCM)
HAJI KHATIB KAI (CUF)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
13. CHALINZE SHOO GASPER AIKAELI (ACT –Wazalendo)
KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA (CCM)
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Chalinze.
14. CHALINZE TORONGEY MANGUNDA MATHOYO (CHADEMA0
KIKWETE RIDHIWANI JAKAYA
(CCM)
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Chalinze.
3
Na. Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
15. KASULU MJINI MACHALI MOSES JOSEPH
(ACT – Wazalendo)
NSANZUGWANKO DANIEL NICODEMUS
(CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
16. MWANGA KILEWO HENRY JOHN (CHADEMA)
PROF. MAGHEMBE JUMANNE ABDALLAH (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
17. Tarime Mjini Esther Nicholas Matiko
(CHADEMA )
Deogratius Meck Mbagi
(ACT – Wazalendo)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
18. Ulanga Celina Ompeshi Kombani (CCM)
Ikongoli Pancras Michael (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
19. Nzega Mjini Mezza Leonard John (CUF)
Bashe, Mohammed Hussein (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
20 Nkenge Bagachwa Salim Abubakar (CUF)
Kamala Diodorus Buberwa (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
21. Ulanga Celina Ompeshi Kombani (CCM)
Isaya Isaya Maputa (ACT – Wazalendo)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
22. Bukene Elias Michael Machibya (CCM)
Simbi Alex Mpugi (CUF)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
23. Ileje Janeth Zebedayo Mbene (CCM)
Emmanuel Amanyisye Mbuba
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na
4
Na. Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
(NCCR – Mageuzi)kampeni za uchaguzi.
24 Ileje Emmanuel Amanyisye Mbuba
(NCCR – Mageuzi)
Janeth Zebedayo Mbene (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
25 Kigoma Kusini
Bidyanguze Nashon William (ADA – TADEA)
Msimamizi wa Uchaguzi (RO)
Tume imekubali Rufaa ya mrufani kwani aliwasilisha fomu 4 za uteuzi zenye jumla ya wadhamini 52. Hivyo, Tume imemrejesha Mgombea wa ADA TADEA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kigoma Kusini .
26 BUMBULI DAVID JOHN CHAMYEGH
(CHADEMA)
JANUARY YUSUF MAKAMBA ( CCM)
Tume imekubali rufaa na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Bumbuli aendelee na Kampeni.
27 DODOMA MJINI
KIGAILA BENSON SINGO (CHADEMA)
MAVUNDE PETER ANTONY (CCM)
Tume imekataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
28 LUDEWA MSAMBICHAKO BARTHOLOMEO A. MKINGA
FILIKUNJOMBE DEO HAULE (CCM)
Tume imekubali Rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi
5
Na. Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
( CHADEMA) wa Uchaguzi na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Ludewa. Aendelee na Kampeni.
29 KINONDONI
MTULIA MAULID SAID ABDALLAH CUF
AZZAN IDD MOHAMED CCM
Tume imeikubali rufaa na imemrejesha Mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Kinondoni aendelee na Kampeni.
30 MTAMA SELEMANI SAIDI MTULUMA
UPDP
MCHINJITA RASHID ISIHAKA
CUF
Tume imekataa rufaa na inakubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi hivyo Mrufani ameondolewa kwenye ugombea kihalali na kisheria.
31 UKONGA JERRY WILLIAM SILAA (CCM)
WAITARA MWIKABE (CHADEMA)
Tume imeikataa imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kuwa Waitara Mwikwabe ni Mgombea halali. Wagombea waendelee na kampeni.
32 SENGEREMA
FRANCISCO K. SHEJUMABU
(UDP)
TABASAM H. MWAGAO (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na inakubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo, Tabasam H. Mwagao ni mgombea halali.
6
Na. Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
33 SENGEREMA TUMAINI MWALE KABUSINJA (NCCR – Mageuzi)
HAMIS MWAGAO TABASAM (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo, Tabasam H. Mwagao ni mgombea halali.
34 MOSHI MJINI
KIRETI KAMASHO ISSAC (SAU)
JAPHARY RAPHAEL MICHAEL (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa ya mrufani, kwa kuwa hajatoa uthibitisho kuwa mrufaniwa siyo raia wa Tanzania. Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi hivyo, Japhary Raphael Michael ni mgombea halali.
35 MADABA BUSARA LOSTOON KAISARI (ACT – Wazalendo)
Msimamizi wa Uchaguzi
Tume imekubali Rufaa na kumrejesha BUSARA LOSTOON KAISARI, Mgombea wa ACT Wazalendo katika orodha ya Wagombea wa Jimbo la Madaba.
36 TANGA MJINI
NUNDU OMARI RASHID (CCM)
KIDEGE HAMAD AYUBU MHAMED (ACT – Wazalendo)
Tume imekubaliana na, uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo rufaa imekataliwa. Wagombea wanaendelea na kampeni
37 TANGA NUNDI OMARI MUSSA BAKARI Tume imekubaliana
7
Na. Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
MJINI RASHID (CCM) MBAROUK (CUF) na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa na Wagombea wanaendelea na kampeni.
Tarehe 02/09/2015
38 ARUMERU MASHARIKI
NASSARI JOSHUA SAMWEL (CHADEMA)
PALLANGYO JOHN DANIELSON (CCM)
Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa na wagombea wanaendelea na Kampeni..
39 SHINYANGA MJINI
STEVEN JULIUS MASELE (CCM)
PATROBAS PASCHAL KATAMBI (CHADEMA)
Tume imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi kwa hivyo, rufaa imekataliwa. Wagombea waendelee na kampeni.
40 MTAMBWE KHAMIS SEIF ALLI (CCM)
ALI SALIM OMARI (AFP)
Rufaa hii haikujadiliwa na Tume kwa sababu utaratibu wa uwasilishaji fomu za rufaa haukufuatwa.
8
Na. Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
41 MGOGONI ISSA JUMA HAMAD(CCM)
SULEIMAN ALI YUSUF
Rufaa hii haikujadiliwa kwa sababu utaratibu wa uwasilishaji fomu za rufaa haukufuatwa.
9
Jedwali 2 Tarehe 01/07/2015
Na.
Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
1. CHIKUNJA/
NDANDA
KASTOR JOSEPH
MMUNI
(CHADEMA)
MPONDA
FILEMON
NOAMECK
DISMAS (NLD)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
2 KIMAMBA
‘A’/KILOSA
SILAS
RAMADHANI
KASSO (CUF)
AIRU MUSTAPHA
KAISI (ACT-
WAZALENDO)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi
3 NYAMISANGU
RA/TARIME
MJINI
BASHIRI
ABDALLAH
SELEMANI
(CHADEMA)
NCHANGWA
SAMWELI
MAGOIGA
(CCM)
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Nyamisungura
4 OLMOLOG/
LONGIDO
MATHIAS
ORKIREYE
MOLLEL
(CCM)
DIYOO LOMAYANI
SYOKINO LAIZA
(CHADEMA)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi.
5 MWISENGE/
MUSOMA
LADISLAUS
MANYAMA
MAGESA
(CCM)
BWIRE NYAMERO
BWIRE
(CHADEMA)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi
6 BOMANI/
TARIME MJINI
MECCO
KAZIMOTO
KABILA
(CHADEMA)
MASUBO
GODFREY
MICHAEL
(CCM)
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya BOMANI.
7. ISYESYE/JIJI
LA MBEYA
MDEMU MELAS
PAUL (CCM)
IBRAHIM JOHN
MWAMPWANI
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na
10
Na.
Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
(CHADEMA) kampeni za uchaguzi.
8 MBARIKA/
MISUNGWI
IZENGO
TUMAINI PETER
(CHADEMA)
ZUBERI MANZA
NGUKULA (ACT-
WAZALENDO
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi
9 KILAGANO/
WILAYA YA
SONGEA
BATHLOMEO
SIXMUNDI
MKWERA
(CHADEMA)
EMANUEL
EMILIAN
NGONYANI
(CCM)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi
10 ISAMILO/Jiji la
Mwanza
TIBA DEUS TIBA
(TADEA)
YAHAYA IDDI
NYALENGA
(ACT-
WAZALENDO)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi
11 BENDERA/
SAME
MICHAEL
RICHARD
MCHARO
(CHADEMA)
CHRISTOPHER
MAIKO MZIRAI
(CCM)
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Bendera.
12 MBWEWE MAHAMBA
BAKARI
RAMADHANI
(CCM)
MOHAMEDI JUMA
RAJABU
(CUF)
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea CUF kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mbwewe
13 MABIBO JOSEPH
WILLIAM KESSY
(CCM)
DASTAN
ATHANASIO
ERNEST
(CUF)
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea wa CUF katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Mabibo. Wagombea
11
Na.
Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
waendelee na kampeni.
14 WANGING’O
MBE
HINGI ROSINA
GABRIEL
(CHADEMA)
NYAGAWA
GEOFREY
KILUNDO
(CCM)
Tume imeikataa rufaa na wagombea wote wanaendelea na kampeni za uchaguzi
15 TALAWANDA/
CHALINZE
SHABANI
MAULIDI
SEMINDU
(SAU)
ZIKATIMU SAIDI
OMARI
(CCM)
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Talawanda.
16 KIWANGWA/
CHALINZE
OMARI RASHIDI
DAVID
(CHADEMA)
MALOTA HUSEIN
KWAGGA
(CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
17 LUGOBA/
CHALINZE
UCHECHE IDDI
MRISHO
(CHADEMA)
MWENE ISSA
REHEMA
(CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubaliana na uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
18 ISYEYE/
MBEYA JIJI
MDEMU MELAS
PAUL (CCM)
SANKE ENOCK
SESO (APPT-
Maendeleo)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
19 ISYEYE/
MBEYA JIJI
MDEMU MELAS
PAUL (CCM)
MWASEBA
SARAH
MWASAMBOMA
(NCCR-Mageuzi)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na wagombea wote wanaendelea na zoezi
12
Na.
Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
20 ISYEYE/
MBEYA JIJI
MDEMU MELAS
PAUL (CCM)
FABIAN ERNEST
DEO (ACT-
WAZALENDO)
Tume imkataa rufaa na imekubaliana na maamuzi ya Msimamizi wa Uchaguzi.
21 KASHAI/
BUKOBA
MJINI
KABAJU
NURULHUDA
ADULKADIR
(CHADEMA)
SAMORA A.
LYAKURWA
(CCM)
Tume imekubali rufaa na kumrejesha mgombea wa CHADEMA katika orodha ya Wagombea wa Kata ya Kashai. Wagombea waendelee na kampeni.
22 MBWEWE/
CHALINZE
MAHAMBA
BAKARI
RAMADHANI
(CCM)
PAPA JUMA HAMISI
(CHADEMA)
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea CHADEMA kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Mbwewe
23 KIWANGWA/
CHALINZE
MALOTA
HUSSEIN
KWAGGA (CCM)
OMARI RASHID
DAVID
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
24 MCHANGANI/
TUNDURU
KASKAZINI
MAWILA
MOHAMED
YASIN
CUF
HAIRU HEMED
MUSSA
CCM
Tume imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea MAWILA MOHAMED YASIN CUF kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya
13
Na.
Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
Mchangani.
25 BUGORORA/
MISENYI
SWALEH
AHMADA MLISA
(CHADEMA)
PROJESTUS M.
RUZIGIJA
(CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
26 SIRARI/
TARIME
SAGARA AMOS
NYABIKWI
(CCM)
NYANGOKO PAUL
THOMAS
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
27 KIBASUKA/
TARIME
ISAYA
NYANGOYE
TARRIMO
(ACT-Wazlendo)
LOICE CHACHA
MANYATA
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi
28 Kibasuka/
Tarime
ISAYA
NYANGOYE
MATIKO
(ACT-
Wazalendo)
KELEMANI
NYAKIHA
KEHEMGU (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
29 IYELA/ JIJI LA
MBEYA
EMMANUEL
ELIAH
LYATINGA
(CCM)
CHARLES
CHANGANI
MKELLA
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
30 IGANJO WASHAHA
JAIVU MIHALI
(CCM)
DAVID EDWARD
MWANGONELA
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
31 ISYESYE MDEMU MELAS MWASEBA
SARAHA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi
14
Na.
Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
PAUL
CCM
MWASAMBOMA wa Msimamizi wa Uchaguzi.
32 MIYUJI/
MANISPAA
DODOMA
WALLACE
DANIEL
LUSSINGU
DAVID WILLIAM
MGONGO
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
33 MNADANI EUSTACE
RWENYANGILA
RUBANDWA
FARIDA ISSA
MBARUKU
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
34 THEMI/ JIJI LA
ARUSHA
LABORA PETRO
NDARPOI
CCM
MELANCE
EDMOND KINABO
CHADEMA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
35 LUFILYO/
BUSOKELO
MWAMAFUPA
LUCAS GIDION
CCM
RICHARD AFRICA
MWANGOMALE
CHADEMA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
36 SOMANDA/
BARIADI
HERI MCHUNGA
ZEBEDAYO
CHADEMA
ROBERT LWEYO
MGATA
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
37 ULEMO/
IRAMBA
ELIKANA
MAKALA
SHOMIA
SAMWELY F.
SHILA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
38 KIEGEANI/
MAFIA
SELEMANI
DARUSI ALLY
HASSAN
MOHAMED
SWALHU
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
15
Na.
Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
39 ISYESYE/ JIJI
LA MBEYA
MDEMU MELAS
PAUL
SANKE ENOCK
SESO
Tume imepitia vielezo vya mrufani na kujiridhisha rufaa haina msingi. Hivyo Tume imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na wagombea wote wanaendelea na zoezi
40 PERA/
CHALINZE
MAJIDI MUSSA
ISALE
(CHADEMA)
LEKOPE
LAINI
LANG’WESI
(CCM)
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo na kumrejesha Mgombea wa CHADEMA kwenye orodha ya wagombea udiwani Kata ya Pera
41 MWAYA/
ULANGA
LILONGERI
FADHILI
FURAHA
(CCM)
MOHAMEDI
KAPELEWELE
RASHIDI
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
42 KIRUSHYA/
NGARA
SOSPETER
SALAZIEL
KAPFHUM
(CHADEMA)
SENTORE
MIBULO JACOB
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
43 IYELA/ JIJI LA
MBEYA
EMMANUEL
ELIAH
LYATINGA
KELVIN HENRY
MYEMBA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
44 MBEZI RAMADHANI RASHID Tume imekataa rufaa
16
Na.
Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
MKURANGA MOHAMED
MBWELA
CUF
MOHAMED
SERUNGWI
CCM
na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
45 SHUNGUBWE
NI/
MKURANGA
KULWA
SELEMANI
MSUMI
CUF
KAMBWIRI OMARI
SHAIBU
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
46 CHIFUTUKA/
BAHI
NOLLO MWINJE
MNZAJILA
CCM
RUBENI SALI
LUHENDE
CHADEMA
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
47 KITUNTU/
KARAGWE
MODEST
KATARE
KALOKOLA
CHADEMA
ZIDINA TAYEBWA
MURUSHID
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
48 VIANZI/
MKURANGA
NAZIRU JUMA
CHUMU
CUF
NASSOR ALLY
CHUMA
CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
49 IPALA/
DODOMA
MJINI
SHUKRANI
AMOSI
MHALINGA
GEORGE
STEPHEN
NGAWA,
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
17
Na.
Jimbo Aliyekata Rufani
Aliyekatiwa Rufani
Uamuzi wa Tume
NCCR-MAGEUZI VICTORIA,
MATAGI
MAGABE, AMANI
CHIBWANA
MADELEMU
CCM na ACT-
WAZALENDO
50 LUKANDE/WILAYA YA ULANGA
MAJIJI NOVATUS SILVATUS (CCM)
MHAWI AWDHI AMIRI (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
51 MONDO/CHEMBA
SAMBALA SAID OMAR (CCM)
ATHUMAN HUSSEIN KIDUNDA (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
52 UPONERA/ULANGA
MWENTI MARIA MAGNUSI (CCM)
EMELIANA ZAKARIA MHAWI (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
53 BUSIS/SENGEREMA
BUZANGI FLAVIAN ARBOGAST (ACT –Wazalendo)
DICKSON YONA SAMWEL (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
01/09/2015
18
Na
JIMBO Aliyekata Rufaa Aliyekatiwa Rufaa
Uamuzi wa Tume
54 MINZIRO/ MISENYI
TWAHA YUNUSU LUBYAYI (CCM)
GEORGE MUKASA KAZIBA (CHADEMA)
Hakuna ushahidi kuthibitisha kuwa Mrufaniwa si mkazi wa kawaida wa Kata ambayo anagombea. aliiwasilisha barua kwa Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kuthibitisha Pingamizi lake kwa kupitia kwa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti. Rufaa hina msingi Serkretatieti inapendekeza ikataliwe. Wagombea waendelee na kampeni.
55.
MAWASILIANO/ULANGA
SALUM DOTTO MOHAMED (ACT-WAZALENDO)
INNOCENT VICTOR MWACHIPA (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
56 MADUKANI BAHAJI HUSSEIN ALLY (CCM)
SAIDI LUGA KITEGILE (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
57.
VIANZI SEIF RAJABU LUMU (CHADEMA)
ANDASON FRANCIS MBANGUKA (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
58 MUNDEM/ FELIX THOMAS GORDEN M. Tume imekubali
19
Na
JIMBO Aliyekata Rufaa Aliyekatiwa Rufaa
Uamuzi wa Tume
. BAHI MBUNA (CHADEMA)
ENYAGALO (CCM) rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi. Imemrudisha mgombea wa CHADEMA. Wagombea waendelee na kampeni.
59.
KILOSA MPEPO/ HALMASHAURI YA MALINYI
KIWANGA KILIAN BONAVE NTURA (CHADEMA)
HAMISA YUSUPH KYELULA (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
60.
LUPILO/WILAYA YA ULANGA
MAHUNDU AYUBU HASSAN (CCM)
MADUNDA ABDALA MKALIMOTO (CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
61 NYARUYEGE/ BUSANDA
CHARLES KALEMELA MAKONA (CHADEMA)
MALIMI SAMSONI SAGUDA (CCM)
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea wa CHADEMA. Wagombea waendelee na kampeni.
62 MKURANGA MWARAMI SHAHA MKETO (CUF)
SAID MOHAMED KUBENEA (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
20
Na
JIMBO Aliyekata Rufaa Aliyekatiwa Rufaa
Uamuzi wa Tume
63
.
CHIROMBOLA FUNDI YAHAYA
CHUMA
MGUBA HILGAD
ITATIRO
Tume imekataa rufaa
na imekubali uamuzi
wa Msimamizi wa
Uchaguzi.
64
.
MKONGOTEM
A/ MADABA
OSWARD P.
NJIKU
VITUS M. MFIKWA Tume imekubali
rufaa na imetengua
uamuzi wa
Msimamizi wa
Uchaguzi na
imemrejesha
mgombea
kugombea udiwani
katika kata ya
Mkongotema.
65
.
CHIKUNJA/
NDANDA
KASTOR JOSEPH
MMUNI –
(CHADEMA)
OMARI
MOHAMED
MKOKO-(CCM)
Tume imekataa rufaa
na imekubali uamuzi
wa Msimamizi wa
Uchaguzi.
66
.
NKINGA/
MANONGA
SALI ALPHONCE
LWAMBO (ACT-
WAZALENDO)
ISACK GILBERT
KIBONA-
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa
na imekubali uamuzi
wa Msimamizi wa
Uchaguzi.
67 KILINDI MOHAMEDI S. LUGENDO- CUF
MOHAMED BAKARI MKOMWA-CCM
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
68.
NYAMISANGURA/ TARIME MJINI
DIDAS NCHAMA MAKARANGA(ACT –
SAMWEL NCHANGWA MAGOIGA (CCM)
Tume imekubali rufaa na imetengua
21
Na
JIMBO Aliyekata Rufaa Aliyekatiwa Rufaa
Uamuzi wa Tume
WAZARENDO) uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea Didasi Nchana Makaranga kugombea kwenye Kata ya Nyamisangura.
69.
IGWACHANYA /WANG’INGOMBE
MHABUKA HENRY AMOS-(CHADEMA)
MAHWATA ANTHON EMANUEL (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
70.
KEMAMBO JOHN MASYAGA MANG”ERANYI(CHADEMA)
BOGOMBA RASHID CHICHAKE(CCM)
Tume imekubali rufaa na imetengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na imemrejesha Mgombea wa CHADEMA kugombea udiwani.
71 MAJENGO/MOSHI DC
MINJA PETER PANTALEO –(CHADEMA)
SABITIPA MWALIMU MCHOMVU – (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
72 MOROGORO
JUU
EMIRY
ALPHONCE
KIDEVU-(CCM)
YASSINI KONDO
KUNGWA-
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa
na imekubali uamuzi
wa Msimamizi wa
Uchaguzi.
22
Na
JIMBO Aliyekata Rufaa Aliyekatiwa Rufaa
Uamuzi wa Tume
73 KYERWA/
RUTUNGURU
RICHARD
BURCHARD
KABARA –
(CHADEMA)
FRUGENCE
MUZORA
FREDERICK –
(CCM)
Tume imekataa rufaa
na imekubali uamuzi
wa Msimamizi wa
Uchaguzi.
74 MWEMA/
TARIME
PETRUES
JOSEPH ITAARA
(CHADEMA)
NTOGORO PETER
KURATE (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
75 KITAJI/
MUSOMA
MJINI
FRANK DIONIS
WABARE (CCM)
HAILE SIZZA
TARAI
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
75 UBENA/
CHALINZE
MUYUWA
NICHOLOUS
GEORGE (CCM)
MHOKA
AUGUSTINO
EVARISTO
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
76 UBENA/
CHALINZE
MUYUWA
NICHOLOUS
GEORGE (CCM)
MGAMA ASHRAF
ATHUMANI (ACT-
WAZALENDO)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
77 BUJULA/
WILAYA YA
GEITA
KANIJO AMINA
SWEDI
KONGEJA
YOHANA MULELE
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
78 MBERE/ILEJE CHAGHI
ANDREA
KALINGA
OMARI
AMBILIKILE
KAMENDU
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
23
Na
JIMBO Aliyekata Rufaa Aliyekatiwa Rufaa
Uamuzi wa Tume
79 HUNYARI/
BUNDA
SUMERA
KIHARATA
MZUMARI
(CCM)
MAKIMA
HAMAROSI
JOSEPHAT
(CHADEMA)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
80 KEMAMBO/
TARIME
VIJIJINI
JOHN MASYAGA
MENG’ENYA
(CHADEMA)
BOGOMBA
RASHID
CHICHAKE (CCM)
Tume imekataa rufaa na imekubali uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi.
81 BOMANI/
TARIME
MECCO
KAZIMOTO
KABILA
(CHADEMA)
MASUBO
GODFREY
MICHAEL (CCM)
Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea agombee Udiwani.
82 MADABA OSWALD P.
NJIKU
(CHADEMA)
VISTUS M.
MFIKWA (CCM)
Tume imekubali rufaa na kutengua uamuzi wa Msimamizi wa Uchaguzi na kumrejesha mgombea agombee Udiwani.
24