Motivational poster 1 Swahili - Cloud Object Storage · mioyo yao kutoka ndani. mimi ni mtoto wa...
Transcript of Motivational poster 1 Swahili - Cloud Object Storage · mioyo yao kutoka ndani. mimi ni mtoto wa...
An
am
toto
Mun
guw
ewe
Iman
i na
Wew
e ni
wa
Mab
ingw
a
“Waa
chen
i w
atot
o w
adog
o w
aje k
wan
gu,
msiw
azui
e , k
wa
maa
na w
atot
o ka
ma h
awa u
falm
e w
a Mun
gu n
i wao
” M
arko
10:
14
hadi
wak
ati
wana
amin
i hii,
haku
na m
tu
anaw
eza.
DAIMA.
KWANINI mimi ni Mimi ni bingwa kwa kuwa niko tayari kufanya vitu ambavyo wewe hauko. Nitapigana na dhambi katika maisha yangu.
Sitawahi acha kuwa
mzuri zaidi kupigana na
dhambi.Niko na motisha kufanya Mungu afurahi. Sio majivuno. majivuno humaliza wanyonge, inaua mioyo yao kutoka ndani.
mimi ni mtoto wa Mungu.
Sitawahi kata tamaa.
bingwa?
“Kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika zake, ndipo atakapomlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.” Mathayo 16:27
Ndio maana mimi ni bingwa
Nitajinyima wakati hakuna mtu anaangalia. Mimi sitishwi na uwoga, kukosekana kwa Amani ama shaka. Nahisi hizo hisia, lakini najua
Nitaanguka, nitaamka.nikichapwa, nitarudi.
Kuwa bingwa, itaumiza.
itachukuia muda.
ITACHUKUA nguvu ya kujitolea.
inahitaji kujinyima.
“Na kila ashindanaye katika michezo hujizuia katika yote, basi hao hufanya hivyo kusudi wapokee taji iharibikayo, bali sisi tupokee taji isiyoharibika.” 1 Wakorintho 9:25
Unahitajika kujisukuma hadi mwisho wako. Kutakuwa na majaribu. Lakini nakuhakikishia utafi kia lengo lako...
itakuwa na THAMANI YAKE.
Vik
waz
o a
mb
azo
tuk
o
(Yes
u ak
awaa
mbi
a) “K
wa m
aana
, am
in n
awaa
mbi
a,
Mki
wa n
a im
ani k
iasi
cha
punj
e ya
hara
dali
mta
uam
bia
mlim
a hu
u, O
ndok
a ha
pa u
ende
kul
e, na
o ut
aond
oka,
wa
la h
alita
kuwa
ko n
eon
lisilo
weze
kana
kwe
nu.”
Mat
hayo
17:
20
naz
o n
i zil
e tu
naj
iwek
ea.