Matangazo ya Kiswahili - DW · 12:30 Michezo Mbiu ya Mnyonge Mwangaza wa Ulaya Wanawake na...
Transcript of Matangazo ya Kiswahili - DW · 12:30 Michezo Mbiu ya Mnyonge Mwangaza wa Ulaya Wanawake na...
Matangazo ya KiswahiliMpaka tarehe 26. Oktoba 2019
BUNDESLIGA
RADIO LIVE *
Mabadiliko yanaweza kutokea
* BUNDESLIGA RADIO LIVE Kutoka sasa tunatangaza mechi za Bundesliga moja kwa moja sambamba na matangazo saa 10.25 (jioni)
kwa siku za Jumamosi kupitia satelaiti SES-5 na redio nyingi
Jumatatu Jumanne Jumatano Alhamisi Ijumaa Jumamosi Jumapili Frikwensi
12 asb.
Habari za Ulimwengu Asiasat 7 Badr 4 Hotbird 13B Nilesat 201 SES-5
12:10 Mbiu ya Mnyonge
Dunia Yetu Leo Asubuhi Mazingira
12:20 Makala yetu leo
Utamaduni na Sanaa
12:30 Mazingira Vijana mchaka mchaka
Kinagaubaga Afya Mwangaza wa Ulaya
Afrika Wiki Hii Afrika Magazetini
Sura ya Ujerumani12:40 Vijana tugutuke Sema Uvume Wanawake na
MaedeleoUtamaduni na Sanaa
Sura ya Ujerumani
Umeipata hiyo
12:50
13:00
Jukwaa Jukwaa Jukwaa Vijana Mubashara
Jukwaa Jukwaa Jukwaa
07 mch.
Habari za Ulimwengu 15275 kHz | 19 m 17710 kHz | 16 m
Badr 4 Hotbird 13B SES-5 Nilesat 201
07:10 Dunia Yetu Leo Mchana MaoniMeza ya Duara
Afrika Wiki Hii
07:20
07:30 Afya Kinagaubaga Sema Uvume Mbiu ya Mnyonge
Wanawake na Maendeleo
Afrika Magazetini
Salamu 07:40 Jukwaa Makala yetu leo Vijana mchaka mchaka
Vijana Mubashara
07:50
08:00
Habari za Afrika Noa Bongo! Jenga maisha yako
Umeipata hiyo
Ujumbe wa Maoni ya Wasikilizaji / Ratiba ya Vipindi Vijavyo
12jioni
Habari za Ulimwengu Asiasat 7 Badr 4 Hotbird 13B Nilesat 201SES-5
12:10 Dunia Yetu Leo Jioni Vijana tugutuke MaoniMeza ya Duara
12:20 Vijana mchaka mchaka
12:30 Michezo Mbiu ya Mnyonge
Mwangaza wa Ulaya
Wanawake na Maendeleo
Mazingira Karibuni
12:40 Vijana tugutuke Sema Uvume Sura ya Ujerumani
Afya Kinagaubaga
12:50
01:00
Habari za Afrika Noa Bongo! Jenga maisha yakoRatiba ya Vipindi Vijavyo na Muziki
AfrikaMashariki
Timu ya wahariri
DW ilianzisha matangazo yake kwa lugha ya Kiswahili barani Afrika mnamo Februari 1, 1963. Timu ya wafanyakazi wa idhaa hii hufanya kazi kutoa taarifa mpya zisizoegemea upande wowote kuhusu matukio muhimu Afrika na ulimwenguni kote. DW inapania kuwa jukwaa la demokrasia, haki za binaadamu na uhuru wa kutoa maoni huku ikiendeleza mdahalo kati ya tamaduni mbalimbali. Sikiliza matangazo yetu ujielimishe!
Waandishi kutoka nchi tano tofauti za Afrika Mashariki na Kati wanafa-nya kazi pamoja na waandishi 20 katika nchi 12 kukuletea mtazamo wa Ujerumani na Ulaya kuhusu matukio ya kimataifa. Matangazo ya DW hurushwa hewani kupitia masafa mafupi kote Afrika na redio shirika pia husaidia kufanya matangazo hayo kusikika katika masafa ya FM.
Timu ya DW-Kiswahili, kutoka kushoto: Josephat Charo, Rashid Chilumba, Andrea Schmidt, Zainab Aziz, Harrison Mwilima, Angela Mdungu-Jokisch, Lilian Mtono, Sylvia Mwehozi, Nina Markgraf, Grace Kabogo, Faiz Abddallah, Samia Othman, John Juma, Saumu Yusuf Mwasimba, Sudi Mnette, Oumilkheir Hamidou na Iddi Ssessanga
Deutsche Welle | Kiswahili Program | T +49.228.429-4148 | F +49.228.429-4915
Mtandao wa Waandishi wetu
TUNAVUMA
KWA
KISHINDO’
[email protected] | dw.com/kiswahili
dw.kiswahili