Maelekezo: - Kaa vizuri mbele ya monitor ya computer yako - Agalia monitor pasipo kuyumba

download Maelekezo: - Kaa vizuri mbele ya monitor ya computer yako - Agalia monitor pasipo kuyumba

If you can't read please download the document

description

Karibu katika mfumo huu mpya unaofanyiwa majaribio na watafiti wa picha za digital (DPI) kwa kushirikiana na kampuni ya SONY. Kupitia “software program” hii unaweza kujipiga picha ya rangi kwa kutumia monitor ya computer yako pasipo kuhitaji kuwa na kamera. Maelekezo: - PowerPoint PPT Presentation

Transcript of Maelekezo: - Kaa vizuri mbele ya monitor ya computer yako - Agalia monitor pasipo kuyumba

  • Maelekezo:- Kaa vizuri mbele ya monitor ya computer yako- Agalia monitor pasipo kuyumba - Click sehemu ilioandikwa Take Picture.- Kumbuka kukaa vizuri pasipo kuzidi upande wowote!!!.Take Picture Karibu katika mfumo huu mpya unaofanyiwa majaribio na watafiti wa picha za digital (DPI) kwa kushirikiana na kampuni ya SONY.Kupitia software program hii unaweza kujipiga picha ya rangi kwa kutumia monitor ya computer yako pasipo kuhitaji kuwa na kamera

  • Take PictureUmeegemea zaidi upande wa kushoto, rudi kulia kidogo na uelekeze macho kwenye monitor, pia kumbuka kutabasamu kwa matokeo ya picha nzuri... Click Take Picture

  • Show Picture100% Completed SuccsessfullyPicha yako iko tayari! File size ni 27KB, hivyo ni rahisi kuituma kwa marafiki kupitia Email au simu ya mkononi, kumbuka kuwajulisha rafiki zako kuhusu software hii ya SONY.Click Show Picture kuona picha

  • Acha Ushamba wako!!

    Hivi ni kweli uliamini monitor inaweza kukupiga picha? Kwa taarifa yako teknolojia tuliyonayo sasa bado haijafikia hatua hiyo, Labda jaribu tena ifikapo mwaka 2010.

    Hebu bonyeza Esc uendelee na kazi zako.