Ina A}·a 14 SURATU LUQMAN...1 S· Ka1ika maelezo ya Aya waliyoifanya ni ya 16 wametia ukafui wao wa...

5
JUZUU 21 Ina A}·a 14 SURATU LUQMAN ( /meteremka Makko) Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, kuneemesha neema kubwa kubwa na kuneemesha· neema ndogo ndogo. L Alif Lam Mym. Mwenye Mwenye 2. H izi ni aya za Kitabu Kilichotengenezwa vizuri kabisa J. Uwongofu na rehema kwa wafanyao 4. Wale wanaosimamisha Sala na kutoa ambao wana yakini na akhera. 5. Hao ndio walio juu ya uwongofu t.Uokao kwa Mola wao, na hao ndio wenye (kufuzu). 6. Na katika watu wako wanaokhitari maneno ya upuzi ili wawapoteze watu na njia ya M wenyezi Mungu, pasipo wao kujua lolote, na wanaicheza shere hiyo njia ya Mwenyezi Mungu. Basi hao watapata adhabu ifedheheshayo. 7. Na wanaposomewa Aya Zetu, huzipa mgongo kwa kujivuna kama kwamba hawakuzisikia, kama kwam ba masikioni mwao mna uzito (uziwi), basi wape habari ya adhabu iumizayo. 8. Bila shaka wale walioamini na wakafanya viten_do vizuri, zitakuwa kwao mabustani ya neema (Peponi). 9. W atakaa humo milele - ni aha(Ji ya Mwenyezi Mungu ihyo haki, na Yeye ndiye nguvu, Mwenye }likima. 10. Ameziumba mbingu pas1po nguzo, (mihimili) mzionazo, na Ameiweka milima katika ardhi iii (ardhi) isikusukenisukeni; naye Ametawanya humo nyama wa kila namna, na Tumeyateremsha maji kutoka mawinguni, na humo Tumeotesha (mimea) mizuri ya kila aina. 513 UTLU MAA /nu Mulcilra 4

Transcript of Ina A}·a 14 SURATU LUQMAN...1 S· Ka1ika maelezo ya Aya waliyoifanya ni ya 16 wametia ukafui wao wa...

Page 1: Ina A}·a 14 SURATU LUQMAN...1 S· Ka1ika maelezo ya Aya waliyoifanya ni ya 16 wametia ukafui wao wa kumtaja mtu wao na kitabu chake cha kupoteza. 16. Udogo wa Khardali ni kama mawele.

JUZUU 21

Ina A}·a 14 SURATU LUQMAN ( /meteremka Makko)

Kwa jina Ia Mwenyezi Mungu, kuneemesha neema kubwa kubwa na kuneemesha· neema ndogo ndogo.

L Alif Lam Mym.

Mwenye Mwenye

2. H izi ni aya za Kitabu Kilichotengenezwa vizuri kabisa

J. Uwongofu na rehema kwa wafanyao wem~

4. Wale wanaosimamisha Sala na kutoa ~llka, ambao wana yakini na akhera.

5. Hao ndio walio juu ya uwongofu t.Uokao kwa Mola wao, na hao ndio wenye ~!Jfaulu, (kufuzu).

6. Na katika watu wako wanaokhitari maneno ya upuzi ili wawapoteze watu na njia ya M wenyezi Mungu, pasipo wao kujua lolote, na wanaicheza shere hiyo njia ya Mwenyezi Mungu. Basi hao watapata adhabu ifedheheshayo.

7. Na wanaposomewa Aya Zetu, huzipa mgongo kwa kujivuna kama kwamba hawakuzisikia, kama kwam ba masikioni mwao mna uzito ( uziwi), basi wape habari ya adhabu iumizayo.

8. Bila shaka wale walioamini na wakafanya viten_do vizuri, zitakuwa kwao mabustani ya neema (Peponi).

9. W atakaa humo milele - ni aha(Ji ya Mwenyezi Mungu ihyo haki, na Yeye ndiye Mw~~ye nguvu, Mwenye }likima.

10. Ameziumba mbingu pas1po nguzo, (mihimili) mzionazo, na Ameiweka milima katika ardhi iii (ardhi) isikusukenisukeni; naye Ametawanya humo nyama wa kila namna, na Tumeyateremsha maji kutoka mawinguni, na humo Tumeotesha (mimea) mizuri ya kila aina.

513

UTLU MAA

/nu Mulcilra 4

Page 2: Ina A}·a 14 SURATU LUQMAN...1 S· Ka1ika maelezo ya Aya waliyoifanya ni ya 16 wametia ukafui wao wa kumtaja mtu wao na kitabu chake cha kupoteza. 16. Udogo wa Khardali ni kama mawele.

JUZUU 21 LUQMAN (31)

I 1. Vyote hivi ameviumba Mwenyezi Mungu. Basi Nionyesheni ni mm walichoumba wale wasiokuwa yeye. Lakini madhalimu wa nafsi zao wamo tu katika upotofu (upotevu) uliyo dhahiri.

I 2. Na kwa yakini Tulimpa Luqmani hikima, tukamwambia Mshukuru Mwenyezi Mungu; na atakayeshukuru, kwa yakini anashukuru kwa ajili ya nafsi yake; na atakayekufuru, Mwenyezi Mungu ni Mkwasi, Asifiwaye, (hahitaji kushukuriwa na yeye).

I J. Na (wakumbushe), Luqmani alipomwambia M wanawe; na bali ya kuwa anampa nasiha. Ewe mwanangu! Usimshirikishe Mwenyezi Mungu, maana shirki ndiyo dhuluma kubwa.

I 4· Na tumemuusia mwanadamu (kuwafanyia ihsani) wazazi wake - mama yake ameichukuwa mimba yake kwa udhaifu juu ya udhaifu, na (kumnyonyesha na kuja) kumwachisha kunyonya katika miaka miwili - ya kwamba unishukuru Mimi na wazazi wako; marejeo yenu ni Kwangu.

I S. N a ( wazazi wako) wakikushurutisha kunishirikisha na (yale) ambayo huna ilimu nayo, usiwatii; lakini kaa nao kwa wema hapa duniani (maadamu ni wazee wako, ila usiwafuate tu mwendo wao mbaya); shika njia ya wale wanaoelekea Kwangu, kisha marejeo yenu ni Kwangu, hapo Nitakuambieni mliyokuwa mkiyatenda.

I 6. Ewe mwanangu! Kwa hakika jambo lolote lijapokuwa na uzito wa chembe ya hardali, likawa ndani ya jabali au mbinguni au katika ardhi, Mwenyezi Mungu Atalileta (amlipe aliyefanya); hila shaka Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa mambo yaliyofichikana, (na) Mjuzi wa mambo yaliyo dhahiri.

I 7. Ewe mwanangu! Simamisha Sala, na uamrishe merna, na ukataze mabava, na usubiri iuu

UTLU MA

.• , ... r; , 8 loA.:..> ;;.!• • . , .. , ~

1 1. Inataka wasilue vizuri haya hail wanaoyaomba makaburi na mizimu na . . . iwape mtoto, na kama haya. Tangu lini hao wamekuwa waumbaii? Hcbu nawatuonyeshe hivyo walivyoumba. Hawawachi watu! Wanataka waambiweje zaidi kuliko hivi? -

13. Amekuumba Mwenyczi Mungu, unamuabudu mwengine! Huyu Luqmani ni katika mabwana wakubwa wema kabisa waliokuwako ulimwenguni. Lakini Mwenyezi

Mungu hakutwambia - wala haikusilii katika Hadithi ya Mtume - kuwa alikuwa wa Kabila gani wala Mahala aani wala Wakati gani. Wala si muhimu kuyajua haya. Muhimu kuujua mwendo wake tukaufuata. Nao ndio huu aliotu;ajia Mwenyezi Mungu hapa katika Aya ya I 3 na ya 16 na ya 17 na ya 18 ria ya I 9.

1 S· Ka1ika maelezo ya Aya waliyoifanya ni ya 16 wametia ukafui wao wa kumtaja mtu wao na kitabu chake cha kupoteza.

16. Udogo wa Khardali ni kama mawele. 1 7. Ukiamrisha merna au kukataza mabaya lazima itakufika misukosuko. Basi usione hi yo ni misukosuko ya

514

Page 3: Ina A}·a 14 SURATU LUQMAN...1 S· Ka1ika maelezo ya Aya waliyoifanya ni ya 16 wametia ukafui wao wa kumtaja mtu wao na kitabu chake cha kupoteza. 16. Udogo wa Khardali ni kama mawele.

JUZUU 21 LUQMAN 01)

ya yale yatayokusibu (kwani mwenye kuamrisha merna na kukataza mabaya lazima zitamfika tu taabu); Hakika hayo ni katika mambo yanayostahiki kuazimiwa (na kila mtu).

18. Wala usiwatazame (usiwafanyie watu jeuri), kwa upande mmoja wa uso, wala usende katika nchi kwa maringo; hakika M wenyezi Mungu Hampendi kila ajivunae, ajifahirishaye.

19. Na ushike mwendo wa katikati, na uteremshe sauti yako; hila shaka sauti ya punda ni mbaya kuliko sauti zote (kwa makelele yake ya bur e).

20. je! Hamuoni ya kwamba Mwenyezi Mungu amekutiishieni vilivyomo mbinguni na ardhini, na Akak ukamilishieni neema Zake zilizo dhahiri na za siri? Na wako watu wanaobishana katika (mambo ya) M wenyezi Mungu pasipo ilimu wala uwongofu wala Kirabu chenye nur~.

21. Na wanapoambiwa, "Fuateni Aliyoyateremsha Mwenyezi Mungu," husema: "Bali tunafuata tuliyowakuta nayo baba zetu." J e!, ijapokuwa shetani anawaita katika adhabu ya Moto (uwakao)? (Watauwendea tu maadamu wazee wao waliuwendea?)

22. Na ajisalimishaye uso wake kwa Mwenyezi Mungu, na bali ya kuwa anawafanyia merna (viumbe wenziwe), hila shaka amekwishakamata fundo lililo madhubuti; na mwisho wa mambo yote ni kwa Mwenyezi Mungu.

2 3. N a anayekufuru, isikuhuzunishe kufuru yake, marejeo yao ni Kwetu, hapo Tutawaambia yale waliyoyafanya; hakika Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa (hata) yaliyomo vifuani.

24. Tutawastarehesha kidogo Chapa ulimwenguni), kisha tutawasukuma katika adhahu ngumu.

25. Na kama ukiwaul.iza, "Ni nani aliyeziumba mbingu na ardhi?" Bila shaka watasema "Mwenyezi Mungu." Basi waambie :- Shukurani zote ni za Mwenyezi Mungu, (wa kuabudiwa yeye peke yake), lakini wengi katika wao hawajui (lolote).

UTLU MAA

Mwenyezi Mungu ukavunjika moyo. Ona kuwa ni mislb;.\lsuko iliyokufika kwa ajili ya dini ya Mwenyezi Mungu, uone kuwa utalipwa malipo mazuri kabisa akhera. Uzidi kuendelea na kazi yako hiyo ya kheri. Hakuna kizuri kinachopatikana bure.

lO. Yata:zame zaidi maclezo yake katika Aya ya 13 ya Suracul Jaachiya. ll. Kujisalimisha kwa Mwenyezi Mungu ni kufuata Amri zake kwa furaha na uchangamfu, katika

unalolipenda na usilolipenda.

SIS

Page 4: Ina A}·a 14 SURATU LUQMAN...1 S· Ka1ika maelezo ya Aya waliyoifanya ni ya 16 wametia ukafui wao wa kumtaja mtu wao na kitabu chake cha kupoteza. 16. Udogo wa Khardali ni kama mawele.

JUZUU 21 LUQMAN 01)

26. Kila kilichomo mbingani na ardhini ni cha Mwenyczi Mungu; hakika Mwcnyezi Mungu ndiyc Mkwasi, Mwcnyc kusifiwa.

2 7. Na lau kama miti yotc iliyomo katika ardhi ingalikuwa kalamu, na bahari hii (ikaf.anywa wino)~ na ikasaidiwa na (kuongczewa maJt) na bahan nyinginc saba, mancno ya Mwenyczi Mungu ya­singalikwisha. Bila shaka M wenyczi M ungu ni Mwenyc nguw (na) Mw\!nye hikima.

28. Hakukuwa kuumbwa kwenu wala kufufuli-wa kwenu ila kama nafsi moja; (hapana taabu yoyote kwa­ke M wenyezi M ungu); hakika, M wenyezi M ungu ni M we­nye kusikia (na) Mwenye kuona.

29. Jc, huoni ya kwamba Mwenyezi Mungu Huuingiza usiku katika mchana, na Huuingiza mchana katika usiku, na Amelitiisha jua na mwezi; vyote vinakwenda tu mpaka wakati uliowe~wa, na Mwenyezi Mungu Anazo habari za mnayoyatenda (yote).

30. Hivi ni kwa sababu Mwenyezi Mungu ni haki (yuko); na wanachokiomba badala yake ni batili (hakiko), (ni uwongo tu kwani hapana hata kimoja katiJra hicho kinachofanya anayofanya Mwenyezi Mungu). Na Mwenyezi Mungu ndiye Mtukutu (na ndiye) Mkubwa.

3 1. 1 e, huoni kwamba vyombo hupita baharini kwa neema ya Mwenyezi Mungu, ill Akuonyesheni Ishara (za neema) Zake (iuu yenu)? Hakika katika hayo zimo lshara kwa kila ( walio wema, nao ni kila) mwenye ustahmilivu (anapokuwa taabuni) na mwenyc shukrani (anapokuwa katika raha).

32. Na - mawimbi yanapowafunika kama mawingu, humuomba Mwenyezi Mungu kwa kumtii kweli kweli; lakini Anapowaokowa kuwaleta barani, baadhi yao hushika mwendo wa katikati (uliyo mzuri, lakini wengine wanakanusha neema za Mwenyezi Mungu); wala hapana azikanushaye neema zetu ila mdanganyifu mkuu, kaftri mkubwa.

3 3. Enyi watu! Mcheni Mola wenu iogopeni siku ambayo baba hatamfaa mtoto wake wala mtoto hatamfaa baba yake hata kidogo. Bila shaka ahadi ya Mwenyezi Mungu ni haki; basi yasikudanganyeni maisha ya (hij) dunia, wala asikudanganyeni yule

SI6

UTLU MAA

Page 5: Ina A}·a 14 SURATU LUQMAN...1 S· Ka1ika maelezo ya Aya waliyoifanya ni ya 16 wametia ukafui wao wa kumtaja mtu wao na kitabu chake cha kupoteza. 16. Udogo wa Khardali ni kama mawele.

JUZUlJ 21 LUQMAN (31)

mdanganyi mkubwa, (lblisiJ katika (mambo ya) M wen yezi M ungu.

34. K wa hakika ujuzi wa Kiama uko kwa Mwenyezi Mungu tu; naye Huter.:m~ha mvua (wakati atakao ), na anayajua yaliyomo matumboni (mwa viumbe wa kike-kuwa watazaa au hawazai, na watazaa wanaume au wanawake au wengi au kidogo. Hakuna anayejua isipokuwa yeye tu Mwenyezi Mungu); na nafsi yoyote haijui ni nini itachuma kesho, wala •nafsi haijui itafia ardhi gani. Bila shaka Mwenyezi Mungu ndiye Mjuzi (ndiye) Mwenye habari (ya mambo yote).

UTLU MA

34· Katika Aya hii - na nyingi nyinginezo kama hii - wanahizika wale wanaowadaia watu wao kujua Ghaybu.

517