GWC - VirtualRehab. Lo que pueden hacer los juegos por la salud
Gwc full with 2 stories
-
Upload
chriss-mosby -
Category
Documents
-
view
877 -
download
3
Transcript of Gwc full with 2 stories
Kutokana na vitabu vya dini :- Kulikuwa Tajiri aliyekuwa na wafanyakazi wake watatu. Siku moja yule
tajiri alikuwa anasafiri. Akawaita wafanyakazi wake na kila mmoja akampa Talanta, wa kwanza akampa
talanta tano (5), wa pili akampa talanta mbili (2) na wa mwisho akampa talanta moja (1) halafu akasafiri.
Wale wafanyakazi wakazifanyia kazi zile talanta walizopewa ila yule aliyepewa talanta moja alienda
kuichimbia chini, Baada ya kipindi Fulani yule tajiri akarudi kutoka safari, akawa amekaa na wafanyakazi
wake, wakiwa wanaongea na wafanyakazi wake akawauliza kuhusu talanta alizowapa, yule aliyepewa
talanta tano akamwambia
Mfano wa talanta ni mtazamo halisi wa maisha tunayoishi Kuna maskini (talanta moja ambazo
wamezificha) maisha ya saizi ya kati (talanta mbili zilizoongezeka kuwa nne) na matajiri (talanta tano
zilizoongezeka na kuwa kumi) nah ii iko hivi maskini hawazalishi japo wanatumia japo watu wa saizi ya
kati wanazalisha kidogo na kukitumia hichohicho kidogo mfano mtu yeyote aliyeajiriwa hata kama ni
mkurugenzi ukimtafuta tarehe 18 hata 20 utakuta hana hela au kaishiwa tena anaweza akaanza kukopa
angalau asogeze siku mpaka mishahara iweze kutoka ndio aanze kuwa na nafuu na maisha yarudi
kawaida. Hata kwa mtu aliyejiajiri na kuzilisha kidogo nae maisha yake yako hivyo hivyo tukija kwa
matajiri hali ni tofauti kwani wao huzalisha zaidi ya matumizi yao. Na hapo ndipo linakuja swala la
talanta kugawa na kupokea talanta kunatokana na uzalishaji unaoufanya hivyo ndivyo talanta
zinavyotoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine na hata ukiangalia kwenye vitabu wanasema
mwenye talanta nne hakuongezewa
Hata hivyo ukiwa na biashara yako kodi ni swala na mwisho kulipa ila ukiwa mfanyakazi kodi ndio kitu
kitu cha kwanza na haiepukiki na Katika biashara inalipwa baada ya faida na faida ni mapato unatoa
matumizi, na kwenye matumizi ni sehemu ambayo mwenye biashara anapocheza napo mwenye
biashara lazima ajipanue kwa kuongeza matawi au kuongeza huduma hapohapo na kwa kufanya hilo
ananunua mashine na vitu vingine na vyote hivi vinaonekana kama matumizi na ndizo zinazopunguza
mwonekano wa faida , pia huwa wanatatoa misaada ambayo inaingiza kama matumizi kwa sababu
inaingia kama cheque na tena kwa kutoa misaada anapata msamaaha wa kodi tena haiishi hapo
atajinunulia gari atajiwekea mafuta kwa kama gharama za ofisi yote haya anapunguza faida na kwa vile
amenunua mashine anazidi tu kukukibiashara, sasa turudi kwa anayefanya kazi kwa mwezi wenyewe
hela haikutoshi sana sana ataingiza kwenye mkopo ili mshahara utoke tena na mshahara ukitoka aanze
kulipa madeni ifike katikati ndio aanze kukopa tena huku na muda ndio kabisa umebanwa utaanzaisha
lini biashara na hata biashara ukiianzisha huweza kuimiliki. Sababu haupo pale na bila ya kuwa na uzoefu
wa biashara hata kama una hela vipi kama huna ujuzi nayo inakukufilisi kama unataka kuanziasha
biashara anza kuanzia mwanzo na ukuwe na biashara inavyokuwa au kafanye kazi kwa mtu mwenye
biashara unayoitaka kisha anzisha yako
Katika kijij kimoja lenye mabonde mazuri, kulikuwa na marafiri wawili Bruno na Pablo walikuwa vijana
wachangamfu na waliotaka maisha mazuri hapo baadae, na mara kwa mara walikuwa wana jadiliana
malengo yao jinsi watakavyoyafaya na kufanikiwa kuliko watu wote hapo kijijini hawakuogopa kufanya
kazi kwa bidii na walikuwa wanatafuta fursa kokote ilipokuwa inapatikana iliwaweze fanikisha malengo
yao. Siku moja fursa ilijitokeza, Diwani wa hicho kijiji aliamua kuwaajiri watu wawili kutoa maji kutoka
kwenye chemchem ya bonde la pili (jirani) na kupeleka hapo kijijini na watalipwa kulingana na idadi ya
ujazo wa maji atakaopeleka. Bruno na Pablo kwa hamu na hamasa kubwa wakaanza kufanya kazi. Kila
siku kuanzia asubuhi mpaka joini wakawa wanachota maji kutoka kwenye chemchem mpaka kwenye
kijiji, walifanya kazi kwa bidii na jioni walirudi nyumbani na ujira wao waliolipwa kutokana na ujazo wa
maji waliyochota. Bruno aliridhika na kipato alichokuwa anakipata akafikiria jinsi ya kuongeza kipato ni
bora aongeze ukubwa wa ndoo ili aongeze wingi wa maji. Aliamini kwa kuwa kipato cha kawaida
ataweza kutimiza malengo yake ya kununua ng’ombe na kuwa na ghorofa aliyokuwa anaitaka. Pablo
hakuwa ameridhika na kipato alichokuwa anakipata, kila siku anarudi mikono nyuma na alikuwa
anachoshwa na hii hali. Na alikuwa anafikiria njia rahisi ya kipata kipato kingi, siku moja wazo likamjia
Pablo akafikiria akiweza kutengeneza bomba kutoka kwenye chemchem mpaka pale kijijni na kwa
kutumia huo mfumo wa bomba ataweza kupeleka maji mengi hapo kijijini bila ya kubabe ndoo.
Alifurahia sana kulipata hilo wazo. Akamtafuta Bruno na kumshirikisha wazo alilolipata na kumuomba
walitekeleze wote katika kutengeneza huo mfumo wa mabomba ya maji. Bruno akaona hilo ni wazo
kichaa, Bruno alichokifikiria ni hela za harakaharaka na jinsi ya kuzipata sasa hivi. Alifikiria kutengeneza
mabomba ya maji kutampunguzia na kumchelewesha Kutimiza malengo yake. Alichoamua ni kuongeza
ukubwa wa ndoo na kuongeza idadi na uharaka anaoutumia kwenda na kurudi wakati wa kuchota maji
ili atomize malengo yake haraka. Pablo akaamua kutengeneza huo mfumo wa mabomba ya maji pekee
yake na alijua kuwa sio kazi rahisi kutengeneza na itamchukua muda kutengeneza mpaka kumaliza ila
akajiwekea akilini mwake katika lengo lake la kutengeneza huo mfumo. Kila siku alikuwa anabeba maji
kama mwanzo ila kila mwisho wa mwezi na muda wake wa ziada baada ya kazi za mchana, alikuwa
anachimba miamba na kubeba udongo iliafanikishe kupitisha mabomba na tena kwa mwezi wa kwanza
juhudi zake zilionekana kuwa ndogo. Bruno na wanakijiji walikuwa wanamcheka na kumuita kwa kejeli
Pablo mabomba ya maji na tena kwa kipindi hichi kipato cha Bruno kiliongezeka mara mbili na aliweza
kununua ng’ombe na kujenga ghorofa na maisha yake yakabadilika, alikuwa anatumia muda wake wa
ziada kwenda kunywa pombe baa na marafiki akifurahia kipato chake cha kubeba maji. Bruno alikuwa
ajajua kuwa mwili wake unazidi kuchoka kutokana na kubeba ndoo kubwa uso wake umeaanza kutoa
mikunjo ya uso na mwili unachoka na ikabidi apunguze kubeba idadi ya maji
Mwezi baada ya mwezi Pablo akaendelea kutengeneza mabomba mwaka wa kwanza na wa pili ukapita
wa tatu mabomba yakakamilika na kuanza kutumia mabomba kupeleka maji kijijini bila ya kubeba maji
kwa sasa akawa anapata hela mara nyingi ya alizokuwa anapata mwanzo maji yalikuw ayanaendelea
kutoka pale kijijini na alikuwa ameweka mita ya kuhesabia ujazo wa maji, kwa hiyo Pablo hakuwa
anafanya kazi akawa anakula raha huku maji yanatoka na kuhusabiwa na mita. Pablo alifurahi sana kwa
kutambua alichokifanya na alikwa anapata hela kwa jinsi maji yanavyozidi kutoka kwenye bomba.
Stori ya Pablo na Bruno ni mtazamo wa maisha tunayoishi. Kazi ni sehemu watu wanapopatumia kupata
kipato. Bruno yeye anapata kipato kwa kutumia ndoo anakwenda na kurudi kuchota maji ilia pate hela,
ili kuongeza kipato inabidi aende na kurudi na mara nyingi(more frequently) au kutumia ndoo kubwa.
Kwa hali ya kawadia watu wanaona kana kwamba ili kuongeza kipato inabidi mtu afanye kazi kwa bidii.
Kwa mfano kufanya kazi muda wa ziada (kuongeza muda zaidi ya muda uliopangwa “overtime”) au
kutafuta kazi ya pili. Ni sawa tunaongeza ukubwa wa ndoo kwa kukubali nafasi za juu za uongozi. Kitu
kinachotupelekea kutumia muda mwingi kazini kwa kipato kilicho na kikomo (sio endelevu) na tunakosa
muda wa kuwa karibu na familia zetu. Watu wengi kubadilisha/wanauza muda wao kwa hela kama
Bruno, inajulikana kwamba kila mtu ana masaa 24 kwa siku na hakuna mtu anaweza kuyatumia masaa
yote kazini. Wakati mbaya unakuja pale mtu anaposhindwa kubadilisha au kuuza muda wake kwa hela
kutokana umri kwenda au matatizo ya kiafya au sababu nyinginezo baada ya hapo kipato chake
kinasitishwa.
Embu tuangalie Pablo alichokifanya, kwa busara za hali ya juu hakubadilisha muda wake wote kwa hela.
Alitumia muda wake wa ziada kutengeneza mfumo wa mabomba, alijua mfumo wa mabomba utakuja
mletea kipato kisicho na kikomo kulingana na maji yanavyotiririka kwenye mabomba. Alijua kwa kufanya
hivyo muda utakuwa unajizidisha kwa ajili ya baadae, na kutokana na umri au matatizo ya kiafya
atakuwa anashindwa kubadiisha au kuuza muda wake. Pablo alijua akiamua kuutekeleza mradi wake wa
wa mabomba atatakiwa afanye hiyo kazi kwa bidii na maarifa na ni kazi nguvu sana ila inahitaji adabu na
hata alivyokwisha kuimaliza Pablo alikuwa na kazi wa kufanya marekebisho madogomadogo na
kuhakikisha maji yanatiririrka kwenye mabomba tu ili hela ziendelee kuingia kwenye mifuko yake
Karibu kwenye
Hizi ni dakika chache muhimu ulizowahi kutumia kwenye internet , Itakuwa na madhara juu ya maisha
yako ya baadaye ya kimaisha, hatima ya fedha na milele, Ninachotaka kushiriki na wewe katika dakika
chache zijazo kitabadilisha maisha yako kabisa.
Kama wewe utachukua hatua leo inaweza kuwa tofauti kati ya chochote ulichokuwa ukikifanya mpaka
sasa na kuishi maisha ya malengo ya kwako tena yale uliyokuwa unayoyapenda)
Kama wewe unaishi maisha unayoyapenda na yako katika malengo uliyokuwa umejiwekea basi hii sio
kwa ajili yako. Hata hivyo, kwa wale ambao bado basi, Ngoja tuchambua baadhi ya mambo
Nini kinachopelekea hali hii!!
Tuliambiwa kwamba:
• Twende shule na tusome kwa bidii na tupate alama nzuri darasani ili tupate kazi nzuri inayolipa
zaidi, tufanye kazi kwa bidii,tuishi maisha ya kujinyima, tuhifadhi hela, tuondokane na madeni na
tuwe na kiinua mgongo kizuri. Ila hata kimoja hakiendeni na hali ya sasa
Uchumi wa kila nchi Uko kwenye hali mbaya kushuka kwa thamani ya hela kulizidi na kunazidi kushuka.
Ajira na Mishahara na gharama za maisha haviongezeki kwa usawa mmoja. Kushuka kwa uchumi
kumesababisha maelfu ya watu duniani kuachishwa kazi walizokuwa wanazitegemea na kuziamini ndani
ya dakika na bila taarifa.
Watu wengi hawawezi kuanzisha Biashara kutokana na kukosa mtaji unaotakiwa katika kuwekeza.
Kuweza kwa kufungua ofisi, kuwalipa wafanyakazi, gharama kuhifadhi na gharama nyinginezo zinazidi
kuwa ghali sana. Na ukishindwa kutafuta masoko vizuri, Utajikuta unapata hasara kubwa zaidi.
Unaweza kuamua kuchagua biashara zilizo tayarishwa tayari zinazoitwa ‘franchise’ ila itakugharimu
mamia ya mamilioni kuianzisha na kuiendeleza.
Kuna njia mbadala ya kununua biashara ya kisasa iliyoandaliwa “franchise” ambayo haitakugrarimu hela
nyingi na inaitwa: GWC
Kwa GWC utaishi maisha uliyokuwa unayataka na kuwapa watoto wako elimu inayowafaa, ukaishi na
unaowapenda katika maisha mnayoyataka. GWC ni mfumo unaokusaidia kufanya kazi muda unaotaka,
kuwa mkurugenzi wa kujitegemea, kujipangia mshahara wewe mwenyewe,tumia muda na jitihada za
watu wengine bila kumlipa mtu hata mmoja! Wewe unakuwa mmiliki wa biashara yako hii na kujifanyia
kazi utakavyo kuanzia leo. Ulishawahi kufikiria kumfukuza kazi bosi wako wa sasa au kujifanyia kazi zako
mwenyewe? GWC inaweza kukuwezesha kufanya hivyo kirahisi na kulipizia msharahara wako wa mwezi
kwa kujifanyia kazi ukiwa nyumbani.
Ngoja nikupe maelezo GWC kiundani:
GLOBAL WEALTHY CLUB,
GWC ilianzaishwa 2011
Makao Makuu yako London U.K.
Ina uongozi makini
Ni binafsi na haidaiwi
Ina miundo mbinu ya uhakika
Ina ofisi na misaada ya haraka dunia nzima
DHUMUNI: Kutengeneza kikundi cha wajasiriamali wanaochipukia kwa kasi duniani kwa kutumia
internet
GWC inaunganisha mienendo saba inayokuwa kwa kasi katika dunia ya sasa kwa mara ya kwanza
ambayo ni
• 1) Internet – 2 Billion People
• 2) E-learning - Fast Growing Trend Personality & Self Development - $100 Billion Industry
• 3) Home Based Business - $200 Billion Industry
• 4) eLearning - $32 Billion Industry
• 5) Travel - $900 Billion Industry
• 6) Online Shopping - $142 Billion Industry
• 7) Weight Loss- Obesity has become a worldwide phenomenon
Peter Drucker - Forbes Magazine Alisema:
“Elimu ya mtandao ni fursa kubwa inayokuja …
“Elimu ya mtandao inaonyesha utofauti mpya na mkubwa, tofauti ya maeneo mengine, na ndio njia
mpya ya utoaji elimu... Na kuna soko kubwa duniani lenye uthamani wa maelfu ya mabilioni ya
hela”
Kuingia GWC
Kuna njia 4 za kuingia GWC na ni kama ifuatavyo:
1. Kifurushi cha Student -$100
2. Kifurushi cha Basic - $199
3. Kifurushi cha Elite - $599
4. Kifurushi cha Platinum - $1399
Vifurushi vya Bidhaa
Kabla ya kuingia kwenye bidhaa kiundani jua hili GWC inajihusisha na bidhaa za LAW OF ATRACTION
ambayo ni self-development na personality,
Kwanini uamue kujihusisha na LAW OF ATRACTION kutokana na hali ya kawaida “watu tunakuwa
kutokana na jinsi tunavyofikiria muda mwingi” na jinsi ambavyo mwili unakuzwa na aina ya chakula
unachokula vile vile na Akili zetu zinakula kwa kuangalia, kusoma na kusikia kwa hiyo unavyoviingiza
kwenye akili yako ndio vinakujenga wewe mtu ambayo anasikiliza aina Fulani ya muziki mara nyingi
basi anajikuta anakuwa na tabia ya aina ya dhamira ya ule muziki mfano miziki ya mapenzi watu
wengi wametumia muda mwingi kusikiliza aina hii ya miziki na ukiangalia watu wengi wanaishi
maisha ya hayo yaliyoongolewa mfano jinsi ya kumdanganya au kuwa na wapenzi wengi bila kujali
na watu wanaishi hayo maisha hata watu wanavyodanganyana na kusameheana na watu wanafanya
hivyo hivyo au kwa wale wanaoangalia tamthilia au filamu za mapenzi wanafanya hivyohivyo na
kuishi maisha ya kuigiza. Kwahiyo watu tunakuwa kutokana na jinsi tunavyofikiria tulivyo kwa muda
mrefu” ukifikiria wewe ni maskini basi utakuwa maskini ukifikiria huwezi kufanya kitu basi hutoweza
kukifanya na mara nyingi watu tunafikiria kufanikiwa ila badala ya kufikiria ni jinsi gani utafanikiwa
ila wengi tunafikiria ni jinsi gani tutakavyoshindwa kufanikiwa na jinsi tunavyotumia muda nyingi
kuangalia tunavyoshindwa ile hali ya kushindwa inatutawala mwisho wake tunakata tamaa na
tunashindwa kufanya lolote na pili mafanikio yanahitaji utu (personality) kwa hiyo ili kuwa na
mafanikio yeyote unahitaji LAW OF ATRATION ili kujiendeleza mara kwa mara ili kufikia mafnikio
unayoyataka
1. Kifurushi cha Student -$100
Mafunzo ya kina juu ya jinsi ya kutumia Law of Attraction katika maisha yako na unufaike nayo kwa
kupitia vitabu 10 (30 eBooks) kila wiki utapata kitabu kimoja
Tumia “Law of Attraction” katika maisha yako.
Nusu kituo cha biashara (75 PV)kipato kisicho zaidi ya 5,500,000/= ($3500) kwa wiki
Unaweza ku up grade muda wowote
2. Kifurushi cha Basic -$199
Mafunzo ya kina juu ya jinsi ya kutumia Law of Attraction katika maisha yako na unufaike nayo kwa
kupitia vitabu 30 (30 eBooks) kila wiki utapata kitabu kimoja
Kituo kimoja cha biashara (150 PV)kipato kisicho zaidi ya 11,000,000/= ($7000) kwa wiki
3. Kifurushi cha Elite -$599
Kifurushi cha Elite ni mafunzo yote ya kifurushi cha basic na mafunzo zaidi yanayohusu utu na
mafunzo ya maendeleo binafsi kwa vitabu vya sauti kama :-
Financial IQ and Management (Elimu ya Fedha na usimamizi wake)
Positive Thinking (Mawazo chanya)
Goal Setting and Getting Results
Spirituality, Zen & Enlightenment
Habits and Sub Consciousness etc.
Vituo 3 vya biashara (450 PV) kipato kisicho zaidi 33,000,000/= ($21,000) kwa wiki
4. Kifurushi cha Platinum -$1399
Mafunzo ya juu ya Maendeleo ya mtu binafsi kwa Video
Kifurushi cha Platinum ni mafunzo yote ya kifurushi cha basic , Elite na mafunzo zaidi yaliyo kwenye
Video yanayohusu utu na mafunzo ya juu ya maendeleo binafsi kama:-
Affirmation Video Series
Guided Hypnosis Video Series
Meditation Video Series
Fitness Video Series etc
Vituo 7 vya biashara (1050 PV) kipato kisicho zaidi 79,000,000/= ($50,000) kwa wiki
FURSA YA BIASHARA
GWC inakuletea malipo ya kwanza ya kipekee DUNIANI ya kulipwa kila siku
Njia 10 za kulipwa….
1. Fast Start Bonus
2. Team Builder Bonus
3. Executive Bonus
4. Binary Income
5. Mega Matching Bonus
6. Rank Advancement Bonus
7. Global Royalty Income Pool
8. Sales Office Program
9. Yearly Renewal Income
10. Quarterly Travel Incentive
Fast Start Bonus
Ukiwa umejiunga tuseme umejiunga kwa kufurushi cha Basic cha $199 na ukamjulisha rafiki yako na
yeye akajiunga kama wewe basi wewe utapaka $10 kwa hiyo kila mtu utakaye mjulisha akijiunga
kwa ID yako basi na wewe unapata $10 kwa kila mtu uliyemuunganisha na kila anayejiunga anapata
ID na hakuna kikomo ya watu unaowaungalisha
Kutengeneza Timu -Ukimuunganisha mmoja kushoto na mmoja kulia unakuwa umetengeneza TIMU
na sasa unakuwa na uwezo wa kupata mapato mengine yote
Team Builder Bonus
Kwa kila uliyemuunganisha kwenye GWC na yeye akimuunganisha mtu yeye analipwa $10 zake na
wewe unalipwa $5 kwa kila mtu aliyemuungaanisha bila kikomo
Executive Bonus
Ukiweza kusaidia watu wawili wawe na watu wawili kila mmoja ndani ya siku 15 za kujiunga
unalipwa $75 Hii ni biashara inayohusuana na kusaidiana utafundishwa na wewe utawafundisha
wengine jinsi unavyoifanya mbinu zote ili uweze kufanikiwa kulingana na malengo yako
Binary Income
Binary inafanya kwa 1:1 na kila pair au pacha utakayo izalisha wewe watu uliowaunganisha au
waliojiunga kupitia wewe utalipwa $25 kwa kila pair kwa wewe na timu yako mtalipwa $25 kila mmoja
Mega Matching Bonus
Kwa kila mtu uliyemuunganisha GWC, kila binary anayolipwa wewe unapata 5% ya mapato yako.
Kwa mfano, umemuungalisha A na B na mapato yao ni $500 kila mmoja, yaani $1000, kwa hiyo utapata
$50 (5% of $1000). Embu fikiri utapata kiasi gani ikiwa una 100 ambao umewaunganisha wewe pekee
yako.
Jumla ya mapato ndani ya siku 15
Kwa mfano umewaunganisha watu wawili na ukawasaidia hao wawili wakawaunganisha wawili kila
mmoja utalipwa:
1. Fast Start Bonus watu wawili wamejiunga kwako $10 x 2 = $20
2. Team Builder Bonus watu wawili wameunganishwa na watu uliowaunganisha $5 x 4 = $20
3. Executive Bonus - una wawili na wenyewe wana wawili ndani ya siku 15 = $75
4. Binary Income - una pair 3 $25 x 3 = $75
5. Mega Matching Bonus 5% ya uliowaunganisha $1.25 x 2 = $2.5
JUMLA = $20+$20+$75+$75+$2.5=$192.2
Una rudisha 97% ya hela zako ulizozitumia kujiungia ndani ya siku 15 za mwanzo
UWEZO WA BIASHARA
Juhudi zako binafsi
Sasahivi umepewa nafasi ya kupata 100% kutokana na juhudi unazozifanya na kulipwa kutokana na
unazozifananya sasa.
Katika GWC fikiria umeamua kununua kifurushi cha Basic($199) ukaamua kuweka juhudi x% kama hapo
chini:-
100% = $15,000 kwa mwezi
50% = $7,500 kwa mwezi
25% = $3750 kwa mwezi
10% = $1,500 kwa mwezi
Swali kwako
Kwa fursa ya biashara yenye uwezo wa mapato ya $15,000 kwa mwezi na
Kwa juhudi zako na msaada wetu sisi, ni muda gani utautumia kuhamasisha watu wawili na biashara
yako ya GWC?
Simu tu?
Masaa machache?
Siku moja au mbili?
Wiki moja au mbili?
Kama utapata watu wawili kirahisi kujiunga ndani ya mwezi mmoja
Embu tuangalie utaweza kupata malipo ya kiasi gani kwa mwaka mmoja..
Jinsi kipato cha ziada kinavyokuwa Kwa mwaka
Kwa mfano umejiunga mwezi huu tuuite mwezi wa kwanza katika biashara na ukahakikisha unapata
watu wawili wa kujiunga ndani ya mwezi na baada ya hapo unahakikisha umewafundisha hao watu
wawili kila mmoja awe na watu wawili ndani wa mwezi unaokuja kwa hiyo utakuwa na timu wa watu
sita yaani wawili uliowaunganisha wewe na wane waliounganishwa na hao uliowaunganisha. Mwezi
unaokuja yaani wa tatu kwako mnakaa wote na kuwafundisha hao waliojiunga na mnahakikisha
wanawaungalisha wawili na kwa hiyo hao wane waliojiunga wakiwaunganisha wawili kila mmoja basi
watu nane watakuwa wamejiunga ndani ya mwezi huo kwahiyo hii inakuwa ndio tabia yenu kila
anayejiunga katika huo mwezi anatakiwa ahakikishe anawangiza watu wawili na ukifanya hivyo ndani ya
miezi 12 na idadi inaji double kila mwezi na kufikia mwezi wa 12 utakuwa na timu ya watu 8190 ambapo
ukigawanya kwa mbili (2) unapata 4095 kwa hiyo ni pair 4095 na kwa kila pair utakayoisababisha wewe
au mtu wa timu yako utalipwa $25 kwahiyo 4095 x $25 = $102,375 ambayo ni sawa na zaidi ya Milioni
mia moja na sitini Tshs 160,000,000/= kwa mwaka
Kama unaweza kufanya kwa wiki na kila mtu akafanya kwa wiki basi utazipata hizo kwa wiki 12
Miezi Kipeuo cha
pili
Idadi ya
Watu
1 2 2
2 4 6
3 8 14
4 16 30
5 32 62
6 64 126
7 128 254
8 256 510
9 512 1022
10 1024 2046
11 2048 4094
12 4096 8190
Rank Advancement Bonus (Kipato cha Vyeo)
Pacha Vyeo Muda
(Miezi) Kipato
10 Bronze 1 $100
25 Silver 2 $200
50 Gold 3 $500
100 Pearl 4 $1,000
200 Ruby 6 $2,000
500 Emerald 9 $5,000
1,000 Diamond 12 $10,000
2,000 Blue Diamond 15 $20,000
5,000 Black Diamond 18 $30,000
10,000 Royal Black Diamond 21 $50,000
25,000 Ambassador 24 $75,000
50,000 Crown Ambassador 30 $100,000
100,000 Double Crown Ambassador 36 $200,000
200,000 Triple Crown Ambassador 40 $500,000
Global Royalty Income Pool
• Global Royalty Income Pool ni mapato yanayogawiwa kwa walifika Diamond na zaidi.
• Waliofika Diamonds na zaidi wanagawana 1% ya mauzo yote (faida) yaliyofanywa na Global
Wealthy Club duniani kote kwa mwaka mzima.
Sales Office Program
• Itakapo tengenezwa Timu makini kwenye sehemu yeyote kampuni itasaidia gharama za
kufungua ofisi kwa ajili ya mafunzo, na kuonyesha biashara kwa watu wapya, pia na kufanya
mikutano ya timu na shughuli mbalimbali.
• Hii itasaidia kukuza biashara kwa ujumla na kuipeleka mbali zaidi.
• Kama kwenye sehemu yako yeyote kwa mfululizo kutatokea mauzo 300 ya kifurushi cha basic,
timu yako itakuwa na uwezo wa kulipiwa $600 kwa mwezi kwa ajili ya kodi ya sehemu
kuonyesha biashara.
Yearly Renewal Income
• Pale kila mtu kwenye Timu yako atakapolipia kuendeleza uanachama kwa $25 kwa mwaka
wewe utalipwa 25PV($33) ambayo itakusaidia kuongeza kipato chako.
• Jaribu kufikiri una watu 6 kwenye Timu yako wanaoendeleza uanachama, utapata 150PV sawa
na na ID moja ya Basic.
Quarterly Travel Incentives
• Kila robo ya mwaka kunakuwa na tukio la kimataifa la Global Wealthy Club University litafanyika
sehemu za kifahari itakayochaguliwa na utapata nafasi wewe na timu yako kuhudhuria ikiwa
umelipiwa kila kitu na kutakuwa na mafunzo ya hali ya juu.
Siri ya Bill Gates…
Bill Gates alipoulizwa kwanini amekuwa tajiri kwa kiasi hiki alijibu Vitu 3...
1. Nilikuwa kwenye sehemu sahihi na kwa muda sahihi.
2. Niliona malengo makubwa(maono ya mbele)
3. Nikachukua hatua na kuweka matendo zaidi
UTAJIRI WA KWELI UNATOKANA NA KUWA MBELE KWA KILA KITU…
Unachotakiwa kufanya!!!
Chagua kifurushi kimojawapo unachotaka kununua :
Kifurushi cha Student($100) – 1/2 id & earn max $1,750/wiki
Kifurushi cha Basic ($199) – 1 id & earn max $7,000/wiki
Kifurushi cha Elite ($599) – 3 ids & earn max $21,000/wiki
Kifurushi cha Platinum ($1399) – 7 ids & earn max $50,000/wiki
Rudi kwa aliyekushirikisha hii taarifa na Muulize jinsi gani unaweza kujiunga leo na ukaanza kupata
malipo hata kesho.
Mwisho, wahenga wanasema…
…Kuna aina ya watu 3
Wanaofanya vitu vitokee..
Wanaangalia vitu vikitokea
Wanaoshangaa vitu vimetokeaje!
Kama unataka kufanya vitu vitokee fursa ni hii…
Kulipia tembelea www.globalwealthyclub.com/banker.htm
Kujiunga www.globalwealthyclub.com/join.htm au www.globalwealthyclub.com bonyeza Join Us
button kisha bonyeza submit jaza form ila utahitaji PIN ambayo utaipata baada ya kulipia ni kama
namba ya risiti pia unahitaji ID ya mtu aliyekupa hii taarifa na ukimaliza kujaza ukisubmit na wewe
unapata ID na password ambayo utaitumia ku log in kwenye www.globalwealthyclub.com na
kuingia kwenye ofisi yako iliyona karibia kila kitu na pia ID utampa mtu anayetaka kujiunga au wewe
unayetaka kumuunganisha na kutengeneza hela hata kuanzia leo hii
Kuangalia hii taarifa kwenye video tembelea www.globalwealthyclubpresentation.com/english-
presentation