TANZANIAimages.agri-profocus.nl/upload/2017_Tanzania_Swahili...Cha kutarajia Mwaka 2017 Mifugo...

2
“Shukurani kwa AgriProFocus Tanzania, kupia ushiriki wa EAFF kwenye Tukio la Kikanda la Sector ya mbogamboga, tume- pata taarifa za mawasiliano na kuanzisha ushirikiano na wadau mbalimbali ambao utatusaidia kupanua shughuli zetu za sasa.” Elia Timotheo, Mkurugenzi Mtendaji, East Africa Fruits Farms Co.Ltd Kufanya Kilimo Biashara kwa maendeleo Mawasiliano: Katarina Mungure Mratibu [email protected] +255 222 600 340 TANZANIA Mtandao wa AgriProFocus AgriProFocus ni mtando wa kimataifa unajumuis- ha wadau mbalimbali kwenye sekta ya kilimo; wa- kulima, taasisi binafsi, taasisi za kilimo na taasis za umma. Kwa kuwaleta wadau hawa pamoja, mchango wao kwenye kilimo huongezeka. Huu ni mtandao wa kila mjasiriamali mbunifu kwenye mnyororo wa dhamani wa kilimo uliopo kwenye nchi 13 Afrika na Kusini Mashariki mwa Asia iki- unganisha wataalmu 22,000 wa kilimo biashara. AgriProFocus hufanya Kilimo Biashara kuchangia maendeleo. Mkulima Mjasiriamali Wadau wa mtandao wa AgriProFocus hushirikia- na kuboresha nafasi ya mkulima na wajasiriamali wengine kwenye mnyororo wa dhamani wa kili- mo. Wajasiriamali hawa,wadogo na wa ka, wana mtazamo wa biashara, wanashauku ya kujifunza, ubunifu na kukuwa. Wajasiriamali ambao kwa pa- moja wanaweza kufanya mabadiliko kuhakikisha upakanaji endelevu wa chakula na usalama wa lishe kwenye ngazi ya kitaifa, kikanda na kimataifa. Kilimo Nchini Tanzania Tanzania ni nchi yenye uwezo mkubwa sana kwenye kilimo kwenye nchi za Mashariki na Ku- sini mwa Afrika. Sekta ya mifungo na kilimo cha mboga mboga zinakuwa kwa kasi kwasababu ya uhitaji wa proni na maisha bora. Serikali ya Tan- zania inasaidia mabadiliko ya Kilimo kwa kuwekeza kwenye Kongani ya Kusini ya Kilimo. AgriProFocus Tanzania inaona fursa za kuchangia maendeleo haya kwa kulenga maeneo ya mitaji kwa ajili ya kilimo, masuala ya jinsia na vijana kwenye kilimo. Kwanini Ujiunge na AgriProFocus? Jumika na kutana na watalamu zaidi ya 22,000 kwenye jukwaa letu la intane upate kubadilisha uzoefu na utaalamu. Tambulisha kampuni au taasisi yako kwenye juk- waa la intane la AgriProFocus upate kutangaza bidhaa na huduma mlizonazo Juinge na jumuia za kujifunza kutatua changamoto mbalimbali, kubadilishana mawazo na kuvumbua mbinu mpya kwa pamoja. Hudhuria matukio yetu upate kuanzisha mahusi- ano mapya ya kibiashara na kuweza kufanya bias- hara na wajasiriamali mbalimbali. Pata habari mpya kuhusu maendeleo ya kilimo bi- ashara, zabuni na fursa za kuandika michanganuo ya biashara na kujiunga kuhudhuria matukio mba- limbali. Pata msaada kutoka kwa mu yetu ya urabu in- ayojitegemea. Pata fursa ya kuiunganisha biashara yako na zin- gine kitaifa, kikanda na kimataifa. Badilisha mjadala wa kilimo biashara na uboreshe ujasiriamali wako. AgriProFocus Tanzania Plot 1124, Chole Road Msasani Peninsular P.O.Box 3941, Dar es Salaam, Tanzania www.agriprofocus.com/tanzania KUUNGANISHA Upakanaji wa rasi- liamali, mawasiliano, taaluma na zana MAFUNZO/ KUJIFUNZA Kuchunguza, kuunda na kuimarisha fursa za kushirikiana na ha- tua za pamoja. Kuba- dilishana maarifa na utaalamu UONGOZI Kwa pamoja, badili sura ya mjadala wa upakanaji endelevu wa chakula na uha- kika wa lishe kaka ngazi zote na upate kutambuliwa na kua- miniwa na wadau UNPhoto - Evan Schneider

Transcript of TANZANIAimages.agri-profocus.nl/upload/2017_Tanzania_Swahili...Cha kutarajia Mwaka 2017 Mifugo...

Page 1: TANZANIAimages.agri-profocus.nl/upload/2017_Tanzania_Swahili...Cha kutarajia Mwaka 2017 Mifugo AgriProFocus Tanzania ikishirikiana na PUM na mashirika ya ndani, miaka ya nyuma waliaandaa

“Shukurani kwa AgriProFocus Tanzania, kupitia ushiriki wa EAFF kwenye Tukio la Kikanda la Sector ya mbogamboga, tume-pata taarifa za mawasiliano na kuanzisha ushirikiano na wadau mbalimbali ambao utatusaidia kupanua shughuli zetu za

sasa.”Elia Timotheo,

Mkurugenzi Mtendaji, East Africa Fruits Farms Co.Ltd

Kufanya Kilimo Biashara kwa maendeleo

Mawasiliano: Katarina [email protected]+255 222 600 340

TANZANIA

Mtandao wa AgriProFocus

AgriProFocus ni mtando wa kimataifa unajumuis-ha wadau mbalimbali kwenye sekta ya kilimo; wa-kulima, taasisi binafsi, taasisi za kilimo na taasis za umma. Kwa kuwaleta wadau hawa pamoja, mchango wao kwenye kilimo huongezeka. Huu ni mtandao wa kila mjasiriamali mbunifu kwenye mnyororo wa dhamani wa kilimo uliopo kwenye nchi 13 Afrika na Kusini Mashariki mwa Asia iki-unganisha wataalmu 22,000 wa kilimo biashara. AgriProFocus hufanya Kilimo Biashara kuchangia maendeleo.

Mkulima Mjasiriamali

Wadau wa mtandao wa AgriProFocus hushirikia-na kuboresha nafasi ya mkulima na wajasiriamali wengine kwenye mnyororo wa dhamani wa kili-mo. Wajasiriamali hawa,wadogo na wa kati, wana mtazamo wa biashara, wanashauku ya kujifunza, ubunifu na kukuwa. Wajasiriamali ambao kwa pa-moja wanaweza kufanya mabadiliko kuhakikisha upatikanaji endelevu wa chakula na usalama wa lishe kwenye ngazi ya kitaifa, kikanda na kimataifa.

Kilimo Nchini Tanzania

Tanzania ni nchi yenye uwezo mkubwa sana kwenye kilimo kwenye nchi za Mashariki na Ku-sini mwa Afrika. Sekta ya mifungo na kilimo cha mboga mboga zinakuwa kwa kasi kwasababu ya uhitaji wa protini na maisha bora. Serikali ya Tan-zania inasaidia mabadiliko ya Kilimo kwa kuwekeza kwenye Kongani ya Kusini ya Kilimo.

AgriProFocus Tanzania inaona fursa za kuchangia maendeleo haya kwa kulenga maeneo ya mitaji kwa ajili ya kilimo, masuala ya jinsia na vijana kwenye kilimo.

Kwanini Ujiunge na AgriProFocus?

Jumika na kutana na watalamu zaidi ya 22,000 kwenye jukwaa letu la intaneti upate kubadilisha uzoefu na utaalamu.

Tambulisha kampuni au taasisi yako kwenye juk-waa la intaneti la AgriProFocus upate kutangaza bidhaa na huduma mlizonazo

Juinge na jumuia za kujifunza kutatua changamoto mbalimbali, kubadilishana mawazo na kuvumbua mbinu mpya kwa pamoja.

Hudhuria matukio yetu upate kuanzisha mahusi-ano mapya ya kibiashara na kuweza kufanya bias-hara na wajasiriamali mbalimbali.

Pata habari mpya kuhusu maendeleo ya kilimo bi-ashara, zabuni na fursa za kuandika michanganuo ya biashara na kujiunga kuhudhuria matukio mba-limbali.

Pata msaada kutoka kwa timu yetu ya uratibu in-ayojitegemea.

Pata fursa ya kuiunganisha biashara yako na zin-gine kitaifa, kikanda na kimataifa.

Badilisha mjadala wa kilimo biashara na uboreshe ujasiriamali wako.

AgriProFocus TanzaniaPlot 1124, Chole Road

Msasani PeninsularP.O.Box 3941, Dar es Salaam, Tanzania

www.agriprofocus.com/tanzania

KUUNGANISHA

Upatikanaji wa rasi-liamali, mawasiliano,

taaluma na zana

MAFUNZO/ KUJIFUNZA

Kuchunguza, kuunda na kuimarisha fursa za kushirikiana na ha-tua za pamoja. Kuba-dilishana maarifa na

utaalamu

UONGOZI

Kwa pamoja, badili sura ya mjadala wa upatikanaji endelevu wa chakula na uha-kika wa lishe katika ngazi zote na upate kutambuliwa na kua-

miniwa na wadau

UNPhoto - Evan Schneider

Page 2: TANZANIAimages.agri-profocus.nl/upload/2017_Tanzania_Swahili...Cha kutarajia Mwaka 2017 Mifugo AgriProFocus Tanzania ikishirikiana na PUM na mashirika ya ndani, miaka ya nyuma waliaandaa

Cha kutarajia Mwaka 2017

MifugoAgriProFocus Tanzania ikishirikiana na PUM na mashirika ya ndani, miaka ya nyuma waliaandaa mafunzo ya ufugaji wa kuku(3) na ufugaji wa ng’ombe wa maziwa (8). Mbali na kutoa mafunzo kwa washiriki, tuliwatambua wadau na kutambua mapungufu na mabadiliko ya sekta hii.Tungependa kuendelea na mafunzo haya na kuanzisha mtandao wa watalaam wa mifugo kwenye juk-waa la intaneti. Mtandao huu utatoa taarifa muhimu na midahalo mbalim-bali. Tutaanzisha sehemu ya ‘udhubu-tu na kushirikisha’ itakayoabatana na mashindano kupitia video. Kwa kupitia mchakato huu tutatambua wanama-badiliko kwenye sekta ya ufugaji.

Ujumuishaji wa Jinsia kwenye KilimoMara nyingi wanawake hutengwa kwenye kupata huduma mbalimbali kwa ajili ya shughuli zao za kilimo bias-hara.Kuboresha hii, AgriProFocs Tanzania itatoa kipaumbele kwenye shughu-li za kujumuisha jinsia zote kwenye mnyororo wa dhamani wa kilimo. Tutatoa mafunzo ya kujumuisha jin-sia kwenye minyororo ya dhamani ya kilimo . Tunatazamia kujenga mtan-dao utakaowezesha wadau(mashirika na kampuni) kujifunza mbinu bora, na nyenzo mbalimbali za kubuni na kute-keleza hatua madhubuti za kushirikisha jinsia kwenye kilimo.

Upatikanaji wa mitaji ya Ki-limoAgriProFocus Tanzania itajikita kwenye kuimarisha uelewa wa masuala ya fed-ha kwa wakulima kwa ajili ya kuwezes-ha mipango mizuri ya biashara. Aidha, kutakuwa na mfululizo wa vikao kuhusu mbinu za kukabili mabadiliko ya hali ya hewa, usalama wa lishe na ushirikish-waji wa wadau kwenye biashara. Wa-namabadiliko wataeleza mbinu zao kwa kila mada hizi na kuhamasisha ubunifu kwa wengine. Tunatazamia kubadilisha mtazamo wa watunga sera na waamuzi kwenye masuala ya upatikanaji wa mi-taji ili kuleta mabadiliko kwenye sekta hii. Nafunzo ya fedha na mitaji pamoja na nikutano ya biashara zitakuwa shug-huli kuu.

Mipango ya mtandao wa AgriProFocus Tanzania

Mtandano wa AgriProFocus Tanzania una zaidi ya watalaam 1500 na makampuni 300 kwenye jukwaa let la intaneti. Urati-bu wa mtandao sasa unamakazi mapya Dar es Salaam kwenye ofisi za SNV baada ya miaka minne Arusha. Timu ya uratibu inaobgozwa ba Kamati ya ushauri. Lengo la mtandao ni kuun-ganisha wadau, kuwezesha majukwaa ya kujifunza na kujadi-li mambo mbalimbali. Mwaka 2017, AgriProFocus Tanzania inaona fursa za shughuli kuunganisha, kujifunza na anzisha uongozi kwenye mifugo( ng’ombe wa maziwa na ufugaji wa kuku), Uwezeshaji wa jinsia na vijana, masuala ya kilimo fedha na kilimo cha mbogamboga.Aidha, mtando wa AgriProFocus Tanzania una mpango wa kuandaa mikutano mbalimbali kujadili mada za; uchumi una-otegemea matumizi ya malidhafi, kilimo kinachozingatia ma-badiliko ya tabia nchi na ujumuishaji wa wadau mbalimbali kwenye biashara. Mikutano hii italenga kuwatambua wana mabadiliko kwenye kilimo. Uratibu wa mtandao utahusika kutambua na kutangaza kazi za wana mabadiliko ili kuleta cha-chu kwenye jamii.

Shughuli za Kanda na Kimataifa

AgriProFocus Tanzania ni sehemu ya mtandao wa kimataifa wa AgriProFocus ambapo tunashirikiana na kubadilshana uzoefu na taalumu na nchi za jirani na pia Uholanzi. Kipaombele chetu Mwaka 2017 kwenye ushiriki wa kikanda ni masuala ya mafun-zo ya mifugo, ushirikishwaji wa jinsia na vijana kwenye kilimo biashara. AgriProFocus inatazamia kujenga mtandao wa wadau kwenye sekta ya mbogamboga nchini Tanzania na kuandaa fu-rsa za mafunzo kwa kushirikiana na wadau kutoka mitandao ya Kenya na Uganda. Hii itawezesha kuandaa kongamano la sekta ya mbogamboga kwenye kwa ajili ya kuimarisha sekta hii kuchangia maendeleo.

Lengo la AgriProFocus Tanzania

Mbali na mipango mitatu(hapo chini), AgriProFocus Tanzania kushirikiana na SNV na Agriterra watatekeleza mpango wa vija-na kwa kushirikisha vijana wana mabadiliko na kuwaunganisha na fursa za biashara. Sekta ya mbogamboga ni mada inayoleng-wa. Lengo ni kuimarisha huduma za wadau na kutoa msaada kwa wakulima wajasiriamali.

@ www.facebook.com/apftanzania www.agriprofocus.com/tanzania

@APF_Tanzania [email protected]

TANZANIA

UNPhoto - Evan Schneider